HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mtoto wa Aboud Jumbe afariki dunia October 21, 2025 Erasto Masalu MUSSA Aboud Jumbe, mtoto wa aliyekuwa Rais wa pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumanne tarehe 21 Oktoba…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kesi ya Lissu yafika patamu October 20, 2025 Erasto Masalu KESI ya uhaini, inayomkabili Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imezidi kunoga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza mahakamani leo Jumatatu, tarehe 20…
SIASA Mageuzi ya uchumi na fedha yamejenga Z’bar shirikishi October 20, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa mageuzi ya uchumi na fedha yaliyotekelezwa na Serikali yamekuwa msingi muhimu wa kuijenga Zanzibar inayowashirikisha…
SIASA Sina hofu yoyote ushindi ninao – OMO October 20, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman ametoa nasaha zake muhimu kwa Wanachama na viongozi waandamizi wa chama chake kwa kuzindua timu za ushindi (TIMU OMO)…
SIASA Wassira ataja sababu za Watanzania kumpa mitano Samia October 19, 2025 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wassira amesema kazi kubwa aliyoifanya mgombea urais wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka minne na…
SIASA TANGULIZI Heche hajaenda Kenya – Chadema October 19, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekana taarifa kuwa makamu mwenyekiti wake, Tanzania Bara, John Heche, amevuka mpaka na kuingia nchini Kenya. Anaripoti Saed Kubenea…(endelea). Katika barua yake iliyotumwa kwa…
SIASA TANGULIZI Mpina ndiyo bhasi tena, kesi yake yatupwa October 15, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala Kuu Dodoma imeitupa kesi ya Luhaga Mpina na ACT-Wazalendo, ikieleza kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) haipaswi kuingiliwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu hajamalizana na shaihidi wa serikali, msiba waahilisha kesi yake October 15, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, leo tarehe 15 Oktoba 2025, imeendelea kusikiliza kesi Na. 19605/2025, Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…
SIASA OMO aahidi kupitia upya mfumo wa mafao ya wastaafu serikalini October 14, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Urais wa Chama cha ACT Wazalendo ameahidi kuwa Serikali yake, endapo itapata ridhaa ya wananchi, itapitia upya mfumo mzima wa mafao ya wastaafu Serikalini ili kuhakikisha wastaafu wanapewa heshima,…
SIASA TANGULIZI Lissu ambananisha shahidi utofauti wa maelezo ya polisi na mahakamani October 13, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaenndelea na kumuuliza maswali ya dodoso (cross examination), shahidi wa pili wa serikali John Kaaya ‘Afisa wa Polisi anayeshughulika na…