SIASA TANGULIZI Nitarejeshea wananchi mali zao zilizoporwa Othman Masoud October 13, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais wa Zanzibar, kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameahidi kuwarejeshea wananchi wote mali zao, walizodhulumiwa na serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar …( endelea). “Mkinipa ridhaa ya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI John Heche ateta na Marando October 11, 2025 Erasto Masalu MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amemtembelea mwanasiasa mkongwe nchini, Mabere Marando. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Akiwa nyumbani kwa Marando, makamu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mgombea udiwani Kinyerezi ajinadi kuwa mtu wa vitendo zaidi October 11, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Udiwani wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Kinyerezi wilaya ya Ilala, Jijini Dar es Salaam, John Mrema Ryoba amewahakikishia wapiga kura wa Kinyerezi kwamba yeye si mtu wa maneno…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu aanza kumbana shahidi wa pili, ataendelea J’tatu October 10, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo tarehe 10 Oktoba 2025, imeendelea na usikulizaji wa shauri Na. 19605/2025 la uhaini linalomkabili Tundu Lissu – Mwenyekiti wa Chama cha…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Maswali ya majibu ya shahidi wa pili wa kesi ya Lissu October 9, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imeendelea na usikilizaji wa shauri Na. 19605/2025 ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambapo leo…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Yaliyojiri mahakamani kesi ya Lissu neno kwa neno October 8, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu – Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo tarehe 8 Oktoba 2025 akiwa anamuuliza maswali ya Dodoso shahidi wa awali wa ambaye ni ASP George Bagyemu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu aibua mapya mahakamani October 8, 2025 Erasto Masalu GEORGE Bagyemu, Naibu Mkuu wa Upelelezi (ASP), Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, amedai kuwa Freeman Mbowe, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa miongo miwili, ni…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Update kesi uhaini: Lissu ambana shahidi tafsiri ya neno uasi October 8, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo tarehe 8 Oktoba 2025, ameelea kumuuliza shahidi wa kwanza wa Jamhuri kwenye kesi Na. . 19605/2025 la uhaini linalomkabili…
SIASA TANGULIZI Mauaji ya Kibiti yaibuliwa kwenye kesi ya Lissu October 8, 2025 Erasto Masalu SAKATA la mauaji ya Kibiti, wilaya ya Rufiji yaliyotokea 2017, limeibuliwa leo taehe 8 Oktoba 2025, kwenye shauri Na. 19605/2025 la uhaini linalomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu ambana kwa maswali shahidi wa Serikali October 7, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu ameendelea kumbana shahidi kwa maswali ya dodoso kulingana na ushahidi alioutoa jana tarehe 6 Aprili 2025 ambapo shahidi wa kwanza wa Jamhuri aliendelea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…