HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mwabukusi: TLS tunafuatilia binti aliyetendewa ukatili wa kingono August 5, 2024 Erasto Masalu RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amelaani kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia aliofanyiwa binti mmoja mkazi wa Yombo Dovya huku akirekodiwa video na wanaume waliokuwa…
SIASA TANGULIZI Rais Samia apata muarobaini migogoro ya wafugaji, wakulima August 4, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Kampeni ya TUTUNZANE MVOMERO 2023-2028 wilayani Mvomero mkoani Morogoro inayohamasisha wafugaji kufanya ufugaji wa kisasa ikiwemo kuwa na maeneo yao ya kulima malisho ili kuondokana…
SIASA TANGULIZI Wananchi Morogoro: Hatuna deni na Rais Samia August 2, 2024 Erasto Masalu BAADHI ya wananchi wa Mkoa wa Morogoro, wamesema hawana deni na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa ahadi nyingi alizotoa amezitekeleza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). Maelezo hayo ya…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Treni ya SGR yabuma tena Morogoro August 1, 2024 Erasto Masalu WAKATI Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi akizindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na abiria kutokea mkoani…
KIMATAIFA TANGULIZI Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa July 31, 2024 Erasto Masalu TAARIFA iliyotolewa na Hamas imesema kuwa Haniyeh ameuawa katika shambulio lililofanywa na Wazayuni (Israel) mjini Tehran, Iran. Inaripiti Mitandao ya Kimaraifa. Katika taarifa yake Jumatano asubuhi, Hamas ilisema Haniyeh aliuawa…
SIASA TANGULIZI Kinana ajiuzulu Makamu Mwenyekiti CCM, Rais Samia aridhia July 30, 2024 Erasto Masalu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI URUS TZ kupeleka teknolojia ya uhimilishaji mifugo maenesho ya Nanenane July 29, 2024 Erasto Masalu IKIWA ni sehemu ya kusaidia jitihada za kukuza sekta ya mifugo hapa nchini, Kampuni ya URUS inatatajiwa kushiriki maonesho ya Nanenane mwaka huu katika mikoa sita ya Morogoro, Dodoma, Mbeya,…