KIMATAIFA TANGULIZI Mahakama yasitisha kuondolewa kwa Gachagua ofisini October 18, 2024 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu katika Jamhuri ya Kenya, imesitisha utekelezwaji wa azimio la Seneti la kuidhinisha mashtaka ya kumuondoa madarakani Rigathi Gachagua. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Uamuzi huo umetolewa muda…
KIMATAIFA TANGULIZI Kalonzo, wenzake wapinga kuondolewa kwa Gachagua October 18, 2024 Erasto Masalu BAADHI ya wapinzani nchini Kenya, wakiongozwa na kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, wamelaumu Bunge la Seneti kwa kufanya haraka kumuondoa ofisini aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, bila kujitetea.…
KIMATAIFA TANGULIZI Prof. Kindiki arithi mikoba ya Gachagua Kenya October 18, 2024 Erasto Masalu Waziri wa Usalama wa Ndani na Utawala wa Kitaifa, Prof. Kithure Kindiki (52), ameteuliwa kuwa Naibu Rais wa Kenya, baada ya Bunge la Seneti kumtimua, Rigathi Gachagua, kwa kura jana…
KIMATAIFA TANGULIZI Gachagua akalia kuti kavu, adaiwa kukimbizwa hospitali October 17, 2024 Erasto Masalu Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ameshindwa kujitetea mbele ya Bunge la Seneti, baada ya kudaiwa kuugua na kupelekwa hospitali. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Wakili wake, Paul Muite,…
KIMATAIFA TANGULIZI Gachagua kikaangoni Bunge la Seneti October 16, 2024 Erasto Masalu Bunge la Seneti nchini Kenya, limeanza kujadili hoja ya kumwondoa madarakani, Naibu Rais wa nchi hiyo, Rigathi Gachagua, leo Jumatano tarehe 16 Oktoba 2024. Mjadala huo wa siku mbili kuanzia…
HABARI ZA AFYA TANGULIZI Mtanzania abainika kuambukizwa Mpox October 11, 2024 Erasto Masalu WIZARA ya Afya imethibitisha kisa cha kwanza cha Mtanzania, kubainika amepata maambukizi ya homa ya nyani (Mpox). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Aidha, imesema Tanzania iko salama…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Boni Yai aruka kihunzi, asema ameshuhudia mengi gerezani October 7, 2024 Erasto Masalu BAADA ya kusota gerezani siku 19 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob ‘Boni Yai’ hatimaye amepata dhamana. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…
SIASA TANGULIZI Boni Yai ashinda uchaguzi Kanda ya Pwani akiwa gerezani October 6, 2024 Erasto Masalu BONIFACE Jacob kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameibuka mshindi kwa nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Pwani mara baada ya kupata kura 60 sawa na 77%. Anaripoti Mwandishi…
SIASA TANGULIZI Tume yatakiwa itafute mwarobaini kero za kodi October 4, 2024 Erasto Masalu Rais Samia Suluhu Hassan, amesema mfumo mzuri wa ukusanyaji na ulipaji wa kodi, utafanikisha lengo la kujenga uchumi jumuishi na unaokua kwa kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TEF yataka mazungumzo ya serikali, Mwananchi Communications October 3, 2024 Erasto Masalu JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeishauri serikali na kampuni ya Mwananchi Communications, wakae meza moja, ili kufungua leseni za maudhui mtandaoni, ziliyositishwa kwa siku 30 kuanzia jana. Anaripoti Mwandishi Wetu,…