HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Rostam ataka wakopeshaji wakubwa duniani kuipunguzia Afrika riba October 31, 2024 Erasto Masalu Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz, ametoa wito kwa mashirika makubwa ya kifedha duniani kupunguza riba za mikopo kwa Afrika ili ziwe sawa na zile zinazotolewa kwa mataifa ya Ulaya, Marekani,…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TMA yatoa utabiri wa mvua za msimu wa Novemba 2024 hadi Aprili 2025 October 31, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa mvua za msimu kwa maeneo yanayopata mvua mara moja kwa mwaka. Maeneo hayo ni mikoa ya Kigoma, Katavi, Singida,…
ELIMU TANGULIZI Necta watangaza matokeo ya darasa la saba 2024 October 29, 2024 Erasto Masalu BARAZA la Mtihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2024 ambapo ufaulu umeongeza tofauti na mwaka jana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kutazama…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Korti yabariki Tamisemi isimamie uchaguzi October 28, 2024 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Oktoba 28.2024 imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa Mahakamani hapo na Watanzania watatu (3) ambao ni Bob Chacha Wangwe,…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Aweso awahakikishia upatikanaji wa maji Dar na Pwani October 28, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Maji Juma Aweso amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam na Pwani upatikanaji wa maji safi na salama katika mikoa hiyo kwani Changamoto ya hitilafu ya mtambo wa kuzalisha…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Bashungwa: Msitoke Mafia mpaka kivuko kitoe huduma October 27, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amempgia simu na kumuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro…
KIMATAIFA TANGULIZI Israel yaoshambulia Iran kwa njia ya anga October 26, 2024 Erasto Masalu JESHI la Israel limefanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya Iran mapema Jumamosi, kujibu kile jeshi lake linakiita “miezi ya mfululizo wa mashambulizi ” kutoka Tehran na washirika wake. Anaripoti…
MAKALA & UCHAMBUZI TANGULIZI Kuna sababu nyingi Tamisemi kutosimamia uchaguzi October 25, 2024 Erasto Masalu SISI raia watatu – Bob Wangwe, Bubelwa Kaiza na Ananilea Nkya, katika shauri tulilofungua Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, kwa niaba ya Raia wa Tanzania na tayari limeshasikilizwa…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam wailteta kampuni ya ‘Volkswagen’ nchini October 24, 2024 Erasto Masalu KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea bandari hiyo na kueleza kuridhishwa kwake…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Nishati safi ya kupikia yapigiwa chapuo Jumuiya ya Madola October 23, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, ametoa rai kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola, kuwa mstari wa mbele katika matumizi ya nishati…