HABARI MCHANGANYIKO SIASA Polisi Kigoma waanza uchunguzi ukusanyaji wa vitambulisho vya kura September 27, 2025 Erasto Masalu JESHI la Polisi Mkoa wa Kigoma limetoa taarifa kwa umma likieleza kuwa linafanya uchunguzi wa tuhuma zinazowahusisha baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wanaodaiwa kuhusika katika kukusanya na kuandikisha…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Meridianbet yatoa vifaa kinga kwa watu wenye ulemavu wa ngozi September 26, 2025 Erasto Masalu KATIKA kuendeleza dhamira yake ya kuwajibika kwa jamii, Meridianbet imefanya zoezi maalum la kugawa vifaa kinga kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), ikiwa ni hatua ya kuwalinda dhidi ya…
BIASHARA Aviator – Rusha ndege, pata ushindi wa Samsung A26 mwezi huu. September 25, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inawakaribisha wateja wake kwenye safari mpya ya burudani na ushindi kupitia mchezo wa Aviator, ambapo wachezaji wana nafasi ya kushinda Samsung A26 mpya mwezi huu. Kampeni hii inalenga wachezaji…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Hukumu rufaa kesi ya Nyundo na wenzake leo September 25, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dodoma, leo tarehe 25 Septemba 2025, inatarajiwa kufanyia maamuzi rufaa ya Clinton Damas (Nyundo) na wenzake watatu, waliohukumiwa kifungo cha maisha gerezani. Anaripoti Zakia Nanga, Dodoma…
HABARI ZA MICHEZO Usiku wa Europa League na fursa za ushindi na Meridianbet September 25, 2025 Erasto Masalu Mashabiki wa soka barani Ulaya na duniani kwa ujumla wanajiandaa kwa usiku wa burudani ya kipekee, huku michuano ya Europa League msimu wa 2025/26 ikiwasha moto viwanjani. Timu zenye majina…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO Simbu atoboa siri ya ushindi wa Tokyo, aishukrani NBC Dodoma Mathon September 25, 2025 Erasto Masalu MWANARIADHA wa kimataifa wa Tanzania na mshindi wa mbio ndefu za Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Tokyo, Alphonce Simbu amesema siri kubwa ya ushindi wake kwenye mbio hizo zilizofanyika…
BIASHARA Meridian Bonanza yazinduliwa – Sloti mpya wenye ushindi mkubwa na burudani isiyo na kikomo September 24, 2025 Erasto Masalu Meridianbet, kampuni inayoongoza katika michezo ya kasino na kubashiri mtandaoni, imezindua rasmi mchezo wake mpya wa sloti, Meridian Bonanza, ulioundwa kuleta burudani ya hali ya juu na nafasi nyingi za…
KIMATAIFA Rais wa Malawi akubali kushindwa September 24, 2025 Erasto Masalu RAIS wa sasa wa Malawi, Lazarus Chakwera, amekubali kushindwa katika uchaguzi mkuu nchini mwake na kuliambia taifa lake, kwamba anafanya hivyo kwa kuheshimu nia yao ya kutaka mabadiliko ya serikali.…
KIMATAIFA Vita vya Ukraine vya chukua sura mpya September 24, 2025 Erasto Masalu DIMTRY Peskov, msemaji wa Ikulu ya Urusi, ameituhumu Marekani kuchochea vita nchini Ukraine. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Peskov anasema, “Acha kuchochea vita. Usitulazimishe kuendeleza mashambulizi yake yetu dhidi…
HABARI ZA MICHEZO Jiji la Dodoma kupata uwanja mpya wa kisasa wa michezo September 24, 2025 Erasto Masalu MKOA wa Dodoma kumepangwa kujengwa uwanja mpya wa michezo wa kisasa kwa gharama ya Sh. 358 bilioni, sawa na dola za Marekani 140 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…