BIASHARA Super Heli yawasili Meridianbet, simu mpya zasubiri washindi wa kweli September 29, 2025 Erasto Masalu Meridianbet kwa mara nyingine imeleta burudani mpya kupitia mchezo pendwa wa Super Heli, mchezo wa kasino ya mtandaoni unaokupeleka angani na kukuacha ukishuka na zawadi za nguvu. Ikiwa na muundo…
HABARI ZA MICHEZO Jumatatu ya pesa kwa mechi kubwa za Ulaya ndani ya Meridianbet September 29, 2025 Erasto Masalu Jumatatu hii, anga la soka barani Ulaya linachukua sura ya ushindani, huku mashabiki wakitazamia burudani ya kiwango cha juu kutoka viwanja vya EPL, La Liga na Serie A. Mechi nne…
KIMATAIFA Hali ya Gaza yazidi kuwa tete, Hamas haina mawasilisno na mateka September 29, 2025 Erasto Masalu KIKOSI cha kijeshi cha Hamas, Al-Qassam Brigedi, kimesema kuwa kimepoteza mawasiliano na Matan Angrest na Omri Miran, mateka wawili wa Israel, wanaoshikiliwa na kundi hilo, kufuata operesheni kali za zinaoendelea…
SIASA TANGULIZI Polepole kumwaga mboga Jumanne September 29, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humprey Polepole, ameendelea kutisha watawala na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akiandika kupitia ukurasa wake wa instagram@hpolepole,…
HABARI ZA MICHEZO Burudani ya soka la Ulaya inakuja na fursa ya utajiri September 28, 2025 Erasto Masalu Wadau wa soka Ulaya wanakutana na siku ya aina yake leo, viwanja vinawaka moto, na mashabiki wanashuhudia vita vya pointi, ilhali kwa mabashiri kuna fursa za dhahabu kupitia Meridianbet. Kule…
HABARI MCHANGANYIKO Tanesco, wadau wakutana kujadili mikakati ya kulinda vyanzo vya maji Bwawa na Nyerere September 27, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limekutana na wadau mbalimbali kutoka taasisi za serikali, Uongozi wa Mkoa wa Morogoro, pamoja na wataalam wa mazingira, maji na nishati, kujadili vihatarishi na mikakati…
HABARI MCHANGANYIKO Baba Mzazi wa Askofu Bagonza kuzikwa leo September 27, 2025 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara, John Heche, ameingia mjini Nyakahanga, wilayani Karagwe, mkoani Kagera, kuhudhuria mazishi ya Benjamin Jacob Bagonza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera…
MAKALA & UCHAMBUZI SIASA TANGULIZI Uchaguzi mkuu ujao: Kupata au kupatwa? September 27, 2025 Erasto Masalu HILO ndilo swali ambalo wananchi wanajiuliza, wakati huu ambako Tanzania inajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba. Anaandika Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hii ni kwa sababu, taifa…
HABARI ZA MICHEZO Jumamosi hii ni Uingereza na nafasi ya ushindi kutoka Meridianbet September 27, 2025 Erasto Masalu Tunaimaliza wiki kwa burudani ya kandanda safi kutoka Ligi Kuu ya Uingereza, ligi inayoteka ulimwengu kwa ushindani wa hali ya juu. Mashabiki wanajiandaa kwa burudani ya soka safi, huku wabashiri…
BIASHARA Meridianbet Bonanza imefika, burudani mpya kabisa! September 27, 2025 Erasto Masalu Meridianbet kwa mara nyingine tena imewaletea wateja wake jambo jipya na la kusisimua ambalo ni Meridianbet Bonanza! Huu ni mchezo mpya kabisa, uliotengenezwa kwa ubunifu wa hali ya juu, ukichanganya…