HABARI ZA MICHEZO Wananchi kuanza utetezi wa ubingwa NBCL leo September 24, 2025 Erasto Masalu MABIGWA wa soka nchini, Young Africans, wanaanza safari yao ya kutetea ubingwa hivi leo 24 Septemba 2025, kwa kukutana TP Lindanda (Pamba Jiji Fc), katika dimba la Benjamin Mkapa, jijini…
SIASA Samia aweka shada la maua kaburini kwa Mkapa September 24, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano tarehe 24 Septemba 2025, ameweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa…
HABARI ZA MICHEZO Uwanja wa Mkapa wakarabatiwa kwa Sh. 31 bilioni September 24, 2025 Erasto Masalu SERIKALI ya Tanzania imekamilisha ukarabati wa uwanja wa mpira wa miguu wa Benjamin Mkapa. Anaripoti Fredrick Gama, Dar es Salaam … (endelea). Ukarabati huo, umegharimu takribani Sh. 31 bilioni na…
BIASHARA Vodacom na chama cha gofu waungana kuunga mkono mchezo huo September 24, 2025 Erasto Masalu VODACOM Tanzania Plc kwa kushirikiana na Chama cha Gofu Tanzania, imejitokeza kama mdhamini mkuu wa mashindano ya Vodacom Tanzania Open, yanayotarajia ushiriki wa wachezaji zaidi ya 150 wa gofu kutoka…
HABARI ZA MICHEZO Europa League kukupeleka moja kwa moja kwenye ushindi wa Meridianbet. September 24, 2025 Erasto Masalu JUMATANO hii, barani Ulaya kunawaka moto wa soka. Kombe la Europa linaendelea kutimua vumbi huku kila timu ikisaka alama muhimu kwa ajili ya kufuzu. Kwa mashabiki wa kubashiri, Meridianbet imeandaa…
BIASHARA SIASA Rostam ni mfano bora wawekezaji ndani na nje ya nchi-TCCIA September 23, 2025 Erasto Masalu CHEMBA ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) imetoa wito kwa Serikali kuweka sera madhubuti zitakazowezesha Watanzania kushiriki kikamilifu katika miradi ya kimkakati ya Uchumi, huku ikimtaja Rostam Aziz kama…
BIASHARA Mapinduzi ya kasino mtandaoni kupitia Meridian Bonanza September 23, 2025 Erasto Masalu Meridianbet imeleta mapinduzi makubwa katika ulimwengu wa michezo ya kubashiri kwa kuzindua Meridian Bonanza, mchezo mpya wa kasino mtandaoni unaovunja mipaka ya ushindi na ubunifu. Ukiwa umeundwa kwa ustadi wa…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA KIMATAIFA Changamoto za afya barani Afrika zitatatuliwa na CDC September 23, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema Tanzania inasisitiza umuhimu wa mifumo endelevu ya ufadhili ili kuhakikisha uthabiti wa kukabiliana na dharura za afya…
HABARI ZA MICHEZO Carabao Cup yaanza kwa moto na fursa kwa wabashiri September 23, 2025 Erasto Masalu Leo mashabiki wa soka wanapata burudani ya kipekee, huku raundi ya tatu ya Kombe la Carabao ikiwaleta pamoja vigogo wa soka kutoka pembe zote za Uingereza. Mechi kali zinatarajiwa, na…
BIASHARA Shinda Samsung A25 mpya kwa kucheza Super Heli September 22, 2025 Erasto Masalu KATIKA ulimwengu wa michezo ya kubahatisha, kila mchezaji hutafuta si tu burudani, bali pia ushindi wa maana. Na sasa, Meridianbet imekuja na ofa ya kipekee yenye msisimko na matarajio makubwa,…