October 28, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Suka jamvi la ushindi na Meridianbet hii hapa

Je unajua kuwa kama ulikosa kutusua mapene wikendi, leo hii ni siku nzuri ya wewe kuibuka na mkwanja mrefu?. ODDS za kibabe zimewekwa tayari kwenye mechi hizi, hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.

LALIGA kuna mechi moja ambayo itaendelea ambapo Real Betis atakipiga dhidi ya Atletico Madrid huku mechi ya mwisho kukutana, vijana wa Diego Simeone ndio waliondoka na ushindi. Betis anaweza kulipa kisasi siku ya leo?. Bashiri na Meridianbet sasa.

Pia SUPER LIG kule Uturuki inaendelea kwa mechi mbili ambapo ya kwanza ni hii ya Gaziantep FK dhidi ya Fenerbahce ambao wapo nafasi ya 3 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 4. ODDS KUBWA na machaguo ya kutosha kama kona yapo hapa. Jisajili sasa.

Mechi nyingine ni hii ya Samsunspor dhidi ya Rizespor huku mtanange wa mwisho kukutana mgeni aliondoka na ushindi. Mwenyeji anataka kulipa kisasi leo huku tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 8 pekee. Beti yako unaiweka kwa nani akupe pesa sasa?. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.

Mzigo upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Vilevile kule Ureno, PRIMEIRA LIGA itaendelea kwa mechi moja kali ambapo FC Porto atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Moreirense. Mechi ya mwisho wawili hawa kukutana, Porto ameondoka na ushindi, hivyo basi leo hii mwenyeji anataka kulipa kisasi. Mgeni anataka ushindi azidi kusalia kileleni. Je nani unamuamini akupatia maokoto siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.

Halikadhalika ligi kuu ya Egypt, yaani PREMIER LEAGUE kuna mechi mbili za kubashiri ambapo mechi ya kwanza ni hii ya Smouha SC dhidi ya El Gounah ambao wapo nafasi ya 14 huku wenyeji wakiwa nafasi ya 11. Suka jamvi mechi hii sasa.

Nao Al-ittihad Alexandria watakuwa wenyeji wa Wadi Degla FC huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 8 pekee. Mwenyeji anahitaji sana ushindi mechi hii ili aweze kutoka nafasi ya 17 kwani ni mbaya sana. Lakini pia mgeni wake anahitaji ushindi ili akae nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi. Bashiri sasa mechi hii na Meridianbet.

About The Author

error: Content is protected !!