March 12, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

UEFA kukupatia mzigo mkubwa leo

JUMANNE ya kutusua na wakali wa ubashiri imefika leo ambapo leo hii ligi ya mabingwa Ulaya mechi za marudiano zitapigwa leo huku wewe ukiwa na nafasi ya kuibuka bingwa.

Mapema kabisa FC Barcelona baada ya kushinda ugenini mechi yake ya kwanza leo hii atakuwa na kibarua cha kupepetana dhidi ya Benfica ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 6.60 kwa 1.42. Je nani kutoka hatua ya Robo Fainali siku ya leo?. Bashiri mechi hii sasa.

Pia mtanange mwingine ni huu wa Bayer Leverkusen vs Bayern Munich katika dimba la BayArena. Mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana vijana wa Kompany waliibuka na ushindi mnono, hivyo leo hii wenyeji wanataka kulipa kisasi. Meridianbet wamempa Munich nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.30 kwa 3.15. Jisajili hapa.

Mechi za UEFA kukupatia mshiko siku ya leo, bashiri sasa na Meridianbet mechi zote. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Macho yote yatakuwa pale Anfield leo ambapo Liverpool watawaalika kwao PSG, huku ikumbukwe kuwa Jogoo ana faida ya goli moja. Vijana wa Luis wanahitaji ushindi ugenini leo kuvuka hatua nyingine halikadhalika kwa Liver. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.35 kwa 2.85. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa leo?. Suka jamvi lako hapa.

Kipute kingine kitakuwa kati ya Inter Milan vs Feyenoord ya kule Uholanzi. Mwenyeji alishinda mechi ya kwanza walipokutana, hivyo leo hii mwenye kibarua cha kuvuja jasho kwa nguvu ni mgeni kama anataka ushindi. Anayendelewa kuondoka na pointi 3 leo hii ni Muitalia kwa ODDS 1.37 kwa 8.40. Tengeneza jamvi hapa.

About The Author

error: Content is protected !!