HABARI ZA MICHEZO Bashiri mechi zote za Bayern na Meridianbet March 9, 2026 Erasto Masalu Ligi kuu ya Ujerumani inazidi kupamba moto huku wababe wa ligi hiyo Bayern wakizidi kufanya yao kwa kutoa vichapo mbalimbali. Lakini je unajua kuwa unaweza ukabashiri mechi zote za Bayern…
BIASHARA Win&Go Lucky Loser ya Meridianbet kukufuta chozi unapopoteza March 9, 2026 Erasto Masalu Soko la michezo ya kubahatisha limepata nguvu mpya kupitia Win&Go Lucky Loser, ubunifu unaobadilisha kabisa namna wachezaji wanavyoitazama hasara. Sasa, unapochagua namba zako sita za Win&Go na droo isikuendee kama…
BIASHARA ELIMU HABARI MCHANGANYIKO UNDP, Uingereza watoa 70mil kuimarisha Biashara Bunifu za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu March 9, 2026 Erasto Masalu SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania) pamoja na Serikali ya Uingereza kupitia Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO) imetoa zaidi ya TSh…
KIMATAIFA TANGULIZI Mojtaba Khamenei ndiye mrithi wa Ayatollah Ali Khamenei, Iran March 9, 2026 Erasto Masalu BARAZA la Wataalamu la Iran limemtangaza Mojtaba Khamenei, mwana wa marehemu Ayatollah Ali Khamenei, kuwa kiongozi mkuu mpya wa nchi hiyo. Tangazo hilo, limetolewa jana Jumapili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
HABARI ZA MICHEZO Kila mechi ni nafasi ya wewe kukupatia ushindi March 8, 2026 Erasto Masalu Ushindi Mnono unakusubiri leo ndani ya Meridianbet kwani hapa unapata, Odds kubwa, Machaguo zaidi ya 1000 na mengine mengi. Ili kubashiri sasa ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo. LALIGA…
BIASHARA Burudani sawa na Halloween yawaka upya ndani ya Meridianbet March 8, 2026 Erasto Masalu Soko la burudani za mtandaoni linaendelea kupokea mawimbi mapya ya ubunifu, na safari hii mwanga umeelekezwa kwenye Gates of Halloween, mchezo unaoleta mchanganyiko wa msisimko na teknolojia ya kisasa. Kupitia…
HABARI MCHANGANYIKO RITA yatoa msaada wa vifaa vya ujenzi wa jengo la kituo cha watoto wenye uhitaji Dar March 8, 2026 Erasto Masalu WAKALA wa Ufilisi na Udhamini (RITA) umekabidhi vifaa vya ujenzi pamoja na mahitaji mengine muhimu kwa ajili ya kuboresha mazingira bora ya makazi na elimu katika kituo cha kulelea watoto…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO EACOP yazindua mpango wa ‘Msaidie Binti Abaki Shule’ kusaidia hedhi salama March 8, 2026 Erasto Masalu MRADI wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umezindua awamu ya kwanza ya mpango wa hedhi salama mashuleni unaojulikana ‘Msaidie Binti Abaki Shule’ unaolenga kuwawezesha wasichana, hususan wanaoishi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Jumuiya ya Madola sasa kutinga nchini March 8, 2026 Erasto Masalu HATIMAYE Serikali ya Tanzania, imekubali kumruhusu Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Dk. Lazarus Chakwera, Rais wa zamani wa Malawi, kuingia nchini kufanya uchunguzi wa mauaji ya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kanisa Katoliki Musoma, lafuta barua ya BAWACHA March 7, 2026 Erasto Masalu KANISA Katoliki Jimbo la Musoma, limefutangaza barua yake iliyokuwa imeruhusu Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), kutumia uwanja wake, kwa ajili ya Siku ya Wanawake Duniani.…