HABARI ZA MICHEZO Muda wa kushinda na Meridianbet ni sasa March 7, 2026 Erasto Masalu Je unajua kuwa muda wako wa kushinda pesa na Meridianbet umefika?. Mechi zote ambazo wewe unazitaka zipo huku kwa dau lako dogo tuuh unajiweka kwenye nafasi ya ushindi. Ligi kuu…
BIASHARA Ingia Meridianbet, chagua michezo ya Slotopia yenye ushindi kila mzunguko March 7, 2026 Erasto Masalu Soko la kasino mtandaoni limepata mapinduzi mapya baada ya Meridianbet kuifanya Slotopia kuwa moja ya jukwaa lake la michezo ya sloti linalotoa burudani isiyo na kikomo pamoja na bonasi na…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO Vanillah apata shavu Apple Music March 6, 2026 Erasto Masalu MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Vanillah amepata shavu katika Kampuni ya kimataifa ya Apple Music ambapo ameingia katika mpango wao wa kushirikishwa na wasanii wengi wa kimataifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Waziri wa Fedha awaongoza wateja, wadau wa NBC futari maalum Dar March 6, 2026 Erasto Masalu WAZIRI wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, jana aliwaongoza baadhi ya Waislamu jijini Dar es Salaam kushiriki hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa ajili…
HABARI MCHANGANYIKO BAKWATA: Wapuuzeni wanaokashifu Uislamu March 6, 2026 Erasto Masalu ABUBAKAR Zubeir Bin Ally, Mufti na Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA), amewataka waumini wa dini ya Kiislamu nchini, viongozi na Watanzania kwa ujumla, kuwapuuza wanaoeneza…
SIASA Hatma ya kesi ya mgawanyo wa mali za Chadema leo March 6, 2026 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es salaam kwa ajili ya kusikilizwa kwa hoja za maombi…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI ATCL yaandaa safari maalum kuwarejesha Watanzania waliopo Dubai March 6, 2026 Erasto Masalu SHIRIKA la ndege la Air Tanzania Company Limited limetangaza kuendesha safari maalum ya ndege kati ya Dar es Salaam na Dubai siku ya Jumapili, 8 Machi 2026 kwa ajili ya…
BIASHARA Dau dogo, ushindi mkubwa March 6, 2026 Erasto Masalu Ushindi mzuri unaanzia Meridianbet siku ya leo kwa kusuka jamvi lako na Meridianbet na kubashiri kwa kutumia Early Payout leo. Ingia kwenye akaunti yako sasa na uanze safari yako ya…
BIASHARA Mafuriko ya ushindi na Zombie Apocalypse yaongezewa bonasi Meridianbet March 6, 2026 Erasto Masalu Katika ulimwengu wa michezo ya mtandaoni, ni wachache wanaothubutu kubadilisha mchezo. Leo, Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse Studios wameleta mapinduzi kupitia Zombie Apocalypse, sloti ya kisasa inayochanganya hadithi ya kusisimua,…
HABARI MCHANGANYIKO Wanawake si washindani wa Wanaume – Balozi Zena March 5, 2026 Erasto Masalu WANAWAKE si washindani bali washirika wakuu wa wanaume katika kuiletea jamii maendeleo, hivyo kuna haja ya mchango wao kutambuliwa kwa kuwapa ushirikiano zaidi; badala ya kuwadharau na kuwakwamisha. Anaripoti Mwandishi…