BIASHARA Karibu kwenye familia ya mabilionea kupitia Diamond Jackpot ya Meridianbet March 11, 2026 Erasto Masalu Je, unajua kwamba shilingi 500 tu inaweza kuwa tiketi ya kubadilisha maisha yako? Meridianbet inakuletea Diamond Jackpot ikiwa na fursa ya kipekee kwa mashabiki wa soka na wapenzi wa ubashiri…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 yasherekewa kwa Kishindo- Kilombero Sugar March 11, 2026 Erasto Masalu WAFANYAKAZI Wanawake kutoka Kampuni ya Sukari Kilombero walikusanyika kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 chini ya kauli mbiu “Give to Gain” Tukio hili lilijumuisha tafakuri za Uwezeshaji, kushirikishana maarifa,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Dk. Nchimbi ataka wizara zishirikiane kuimarisha uhifadhi wa mazingira March 10, 2026 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Tanzania,Balozi Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa wizara zinazohusika na sekta ya mazingira kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuwa na mpango wa pamoja utakaowezesha uhifadhi endelevu wa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Jaji Mutungi akutana na Mwakilishi wa UN March 10, 2026 Erasto Masalu MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji (Mstaafu) Francis Mutungi, leo jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja…
SIASA TANGULIZI ACT Wazalendo yawasilisha wasiwasi wa hali ya kisiasa UN March 10, 2026 Erasto Masalu KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (Special Representative of the…
HABARI ZA MICHEZO Je Simba msimu huu ataondoka kapa tena? March 10, 2026 Erasto Masalu Leo hii Meridianbet tunaangazia klabu ya Simba ambayo imekuwa na mabadiliko yanayotokea hap na pale huku nafasi ya wao kushinda taji la NBC Premier League inakuwa ngumu zaidi. Kwenye ligi…
BIASHARA Mapinduzi ya ubashiri yamefika, JIMIXX na Meridianbet wanakupa unachostahili March 10, 2026 Erasto Masalu Kama wewe ni mbashiri unayetaka zaidi ya kushinda mkeka tu, basi huu ni wakati wa kubadilisha mchezo. Kupitia ushirikiano maalum kati ya Meridianbet na Mixx by Yas, kampeni ya JIMIXX…
HABARI ZA MICHEZO KIMATAIFA TANGULIZI Rais wa soka wa DCR-Kongo, ahukumiwa kifungo cha maisha gerezani March 10, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Shirikisho la Soka, katika Jamhuri ya Kongo (FECOFOOT), Jean-Guy Blaise Mayolas, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Wallace Karia wa DRC…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA MICHEZO MO Dewji aendelea kung’ara orodha ya Mabilionea Afrika March 10, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Heshima wa Simba na mfanyabiashara, Mohammed Dewji (MO Dewji) ameendelea kung’ang’ana katika orodha wa mabilionea 20 wa Afrika, ambapo kwa mujibu wa ripoti ya Jarida na mtandao wa…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO ALAF yaadhimisha Siku ya Wanawake kwa uzinduzi wa programu ya uongozi na kuisaidia jamii March 10, 2026 Erasto Masalu KAMPUNI ya ALAF, inayoongoza katika suluhisho la paa na vifaa vya ujenzi Tanzania, imezindua Kundi la 5 la Mpango wa Wanawake katika Uongozi kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya…