HABARI MCHANGANYIKO Polisi waeleza sababu za kumkamata Naibu Katibu Mkuu Chadema May 13, 2025 Erasto Masalu JESHI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeleza sababu za kumkamata Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, Amani Golugwa. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam … (endelea).…
SIASA TANGULIZI Msajili atengua uteuzi wa viongozi wa Chadema May 13, 2025 Erasto Masalu OFOSI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeelezwa kutengua uteuzi wa viongozi wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliothibitishwa na Baraza Kuu la chama hicho mnamo Januari 22,…
BIASHARA Bounty Hunters sloti yenye utajiri Meridianbet kasino May 13, 2025 Erasto Masalu DR Congo inasifika sana kwa wingi wa madini ya dhahabu, tangu miaka ile inaitwa Zaire ya Kina Mobutu Sese Seko, na hadi leo hii nchi hiyo unaambiwa ukigusa tu kuchimba…
BIASHARA Meridianbet yazindua mchezo mpya wa kipekee wa “GATES OF OLYMPIA” kutoka EXPANSE STUDIOS May 13, 2025 Erasto Masalu KWA mashabiki wa michezo ya kasino mtandaoni, Meridianbet ina habari njema: sasa unaweza kucheza Gates of Olympia, mchezo mpya wa slot unaoleta mchanganyiko wa historia ya Kigiriki, teknolojia ya kisasa…
HABARI ZA MICHEZO Meridianbet inakupatia mpunga wa maana leo May 13, 2025 Erasto Masalu Ni Jumanne tulivu kabisa ya wewe kuondoka na kitita cha maana ndani ya wakali wa ubashiri ambapo mechi kibao leo hii Duniani kuendelea. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa na…
BIASHARA Fanya yafuatayo kushinda na sloti ya Goddess of the Night kasino May 12, 2025 Erasto Masalu Historia Inasema kwamba Marekani iliwahi kukaliwa na Wahindi wekundu kabla yaw a Waafrika kuanza kupelekwa na kufanyishwa kazi mashambani na viwandani. Kupitia kasino ya mtandaoni unaweza kujifunza mengi huku unatengeneza…
HABARI MCHANGANYIKO Dk. Doriye awavisha vyeo vya kijeshi Maafisa 145 na askari 476 wa NCAA May 12, 2025 Erasto Masalu DK. Elirehema Doriye, Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) amewavisha vyeo vya kijeshi maafisa 145 na askari 476 wa mamlaka ya hifadhi ya eneo…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Hospitali ya Mt. Joseph Peremiho yatoa nafuu mikoa ya Kusini May 12, 2025 Erasto Masalu WANANCHI wa mkoa wa Ruvuma na Mikoa ya jirani ya Njombe, Lindi na Mtwara, wametakiwa kutumia Hospitali ya Peramiho ili kupata huduma mbalimbali za afya kwakuwa hospitali hiyo ina watalaamu…
HABARI MCHANGANYIKO Wachimbaji Geita wampongeza Rais Samia May 12, 2025 Erasto Masalu WACHIMBAJI na wafanyabiashara wa madini wa mkoa wa Geita, wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake.…
ELIMU Wanafunzi TUSIIME kufundishwa program za kompyuta May 12, 2025 Erasto Masalu KATIKA jitihada za kuendana na mtaala mpya wa elimu uliozinduliwa hivi karibuni na Serikali, unaojumuisha Mahili 11 yanayolenga kuendeleza ujuzi na stadi kwa wanafunzi, shule za Tusiime zimechagua program za…