SIASA TANGULIZI Rais Samia azidi kumwaga ahadi Igunga September 10, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Igunga kuunga mkono chama chake, kuekea uchaguzi mkuu ujao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora … (endelea). Akizungumza…
SIASA TANGULIZI Kingu amshukia Humphrey Polepole September 9, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Ubunge wa Ikungi Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elibariki Kingu, ameeleza kuwa Chama hicho kilikubaliana kwa pamoja kwa kuzingatia kanuni na taratibu kumpitisha Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kuendelea Mahakama Kuu muda huu September 8, 2025 Erasto Masalu KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo Jumatatu,tarehe 8 Septemba 2025, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam,…
SIASA Samia aahidi ujenzi wa jengo la Machinga Complex Iringa September 7, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan, amesema ni dhamira yake kuwa kabla hajaondoka madarakani awe amefanikisha upatikanaji…
SIASA TANGULIZI Mkituchagua tena tutaendelea kutoa ruzuku ya mbolea September 7, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Urais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema ikiwa watanzania watampa ridhaa ya kuongoza tena kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, serikali yake itajikita katika…
SIASA TANGULIZI Samia ajivunia ahadi zake za nyuma September 6, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu ujao, Samia Suluhu Hassan, ameendelea kujimwagia sifa ya kutekeleza ahadi zake. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Rais Mwinyi akemea kauli za uchochezi September 5, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Wawakilishi, Dk Hussein Mwinyi, amewataka viongozi wa dini, wanasiasa, waandishi wa habari na wananchi kukemea kauli zinazoweza kuvuruga amani katika kipindi hiki…
SIASA TANGULIZI Si aibu kubeba watu kuleta kwenye mikutano – Rais Samia September 5, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amesema, siyo aibu kwa chama cha siasa, kusafirisha wanachama wake, kuhudhuria mikutano ya kampeni ili kusikiliza sera zake na…
SIASA Serikali ya NLD kununua meli kubwa ya uvuvi September 4, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Urais kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo, amesema akichaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, serikali yake itanunua meli kubwa ya uvuvi…
SIASA TANGULIZI Bwege adai kutaka kuhongwa Sh. 100 milioni kuivuruga ACT September 4, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Suleman Bungara ‘Bwege’ amesema kuwa kuna baadhi ya wanachama na viongozi wa upinzani wanatumika kuvihujumu vyao ili kunufaisha Chama…