SIASA TANGULIZI Dk. Samia: Tuchagueni tunatekeleza kwa uhakika, siyo ‘tone tone’ August 31, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema chama hicho kinatekeleza mambo kwa uhakika siyo ‘tone tone’ hivyo amewaomba Watanzania kukichagua katika uchaguzi mkuu wa Oktoba.…
SIASA TANGULIZI Monalisa apinga kutimuliwa ACT-Wazalendo, wadau wasema, hilo limeishaaa August 30, 2025 Erasto Masalu MONALISA Joseph Ndala, aliyetangazwa na chama cha ACT- Wazalendo, kufukuzwa ndani ya chama hicho, amepinga kuvuliwa uanachama wake. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na waandishi wa…
SIASA TANGULIZI ACT Wazalendo wamfuta uanachama Monalisa August 29, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemvua uanachama Monalisa Ndallala, mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa ya chama hicho. Anatipoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam … (endelea). Monalisa amevuliwa unachama huo, kupitia Tawi…
SIASA TANGULIZI Rais Samia kuunda tume ya maridhiano, upatanishi August 28, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amesema kama akichaguliwa kuongoza tena ataunda tume ya maridhiano na upatanishi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali. Anaripoti Salehe Mohamed,…
SIASA TANGULIZI Kikwete: Wanaopinga uteuzi wa Rais Samia wana roho ya korosho August 28, 2025 Erasto Masalu RAIS mstaafu Jakaya Kikwete amesema, watu wanaopinga mchakato wa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wanajifanya hamna nazo na wana roho ya korosho. Anaripoti Salehe Mohamed, Dar es…
SIASA TANGULIZI Mahakama yakubali Chadema kumshitaki Msajili, yazuia kutowatambua viongozi wake August 28, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Kanda ya Manyara, imetoa zuio la utekelezaji wa amri ya msajili wa vyama vya siasa ya kuzuia ruzuku ya Chama cha Chademokrasia na kutowatambua viongozi waliothibitishwa na baraza…
SIASA Pigo jingine ACT- Wazalendo lanukia August 28, 2025 Erasto Masalu MAKUMI ya wagombea wa chama cha ACT-Wazalendo, waliojiunga na chama hicho, miezi miwili iliyopita, wako hatarini kuenguliwa. Anaripoti Saed Kubenea, Dar es Salaam … (endelea). Taatifa mikononi mwa MwanaHALISI Online…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mambo matano ya Mwabukusi aliyomwambia Rais Samia August 27, 2025 Erasto Masalu Leo nimefika Ikulu ya Chamwino kuwasilisha majumuisho ya wadau mbalimbali, ambapo tulipata nafasi adhimu ya kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwasikisha kwa Mukhtasari kuhusu masuala…
SIASA TANGULIZI ACT-Wazalendo kwenda mahakamani kupinga kuenguliwa Mpina August 27, 2025 Erasto Masalu TUME ya uchaguzi nchini (INEC), imemuondoa Luhaga Mpina, katika kinyang’anyiro cha mgombea urais, katika uchaguzi mkuu ujao. Anaripoti Saed Kubenea, Dar es Salaam … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa ya…
SIASA TANGULIZI Mpina ang’olewa kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo August 26, 2025 Erasto Masalu MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amemuondoa Luhaga Joelson Mpina, kwenye kinyang’anyiro cha kuwania urais, kupitia ACT-Wazalendo. Taarifa zaidi, soma gazeti la MwanaHALISI Alhamisi hii.