SIASA TANGULIZI Musiba akimbilia ACT-Wazalendo August 25, 2025 Erasto Masalu ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
SIASA TANGULIZI Bulaya, matiko wapenya Kamati kuu CCM August 23, 2025 Erasto Masalu LICHA ya kushindwa kwenye kura za maoni katika majimbo yao Ester Matiko (Tarime Vijijini) na Ester Bulaya (Bunda Mjini) Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imewateua kuwa wagombea wa…
SIASA TANGULIZI ACT-Wazalendo wamjibu Polepole August 23, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman (OMO), amesema chama chao si mradi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kudhoofisha…
MAKALA & UCHAMBUZI SIASA Tutende haki, tutavuna amani August 22, 2025 Erasto Masalu KILA mwaka wa uchaguzi unapofika, wimbo mkubwa unaoimbwa kwa haraka na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni kudumisha amani ya taifa. Anandika Sylvester Hanga … (endelea). Huu ndio mtaji mkuu wa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kesi ya Lissu yapelekwa Mahakama Kuu. August 18, 2025 Erasto Masalu KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu imehamishiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Chadema yakwaa kisiki Mahakamani August 18, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ya kutaka kufunguliwa kifungo cha zuio la kufanya shughuli za kisiasa na…
SIASA TANGULIZI Mpina amtumia Nyerere kujinadi urais August 14, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina ametumia jina la Hayati Baba wa Taifa, Julius Nyerere kuomba Watanzania wamchague yeye na chama chake. Anaripoti Salehe Mohamed, Dar es Salaam…
SIASA TANGULIZI Mpina:CCM haikarabatiki ni chuma chakavu August 14, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikarabatiki kwa kuwa kimepoteza dira na mwelekeo wake. Anaripoti Salehe Mohamed, Dar es Salaam … (endelea). Mpina…
SIASA TANGULIZI Kongwa kuchukua upya fomu za ubunge August 12, 2025 Erasto Masalu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), wilayani Kongwa, mkoani Dodoma, kimetangaza kuanza tena mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi ya ubunge wa jimbo hilo, kufuatia kufariki dunia kwa aliyekuwa…
SIASA TANGULIZI Samia achukua fomu ya urais, asindikizwa na wajumbe wa Kamati Kuu August 10, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais kupitia Chama Cha mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza, Balozi Emmanuel Nchimbi, wamechukua fomu za uteuzi katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi…