MAKALA & UCHAMBUZI SIASA TANGULIZI Huyu ndiye Job Ndugai August 7, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amefariki dunia jana Jumatano, jijini Dodoma. Ndivyo Tulia Ackson Mwansasu, spika wa sasa wa Bunge, alivyoueleza ulimwengu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…
SIASA TANGULIZI Job Ndugai afariki Dunia August 6, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa Jijini Dodoma Job Ndugai amefariki Dunia leo tarehe 06 Agosti 2025. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
SIASA TANGULIZI Mpina hatua moja mbele mgombea urais ACT-Wazalendo August 6, 2025 Erasto Masalu LUHAGA Mpina, aliyekuwa mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika jimbo la Kisesa, anatarajiwa kuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo, katika uchaguzi ujao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
SIASA TANGULIZI Samia amvua hadhi ya ubalozi Polepole August 5, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan, ametengeua uteuzi wa Hamphrey Polepole aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
SIASA TANGULIZI Vigogo watetea nafasi zao za ubunge ndani ya CCM August 4, 2025 Erasto Masalu MATOKEO ya kutafuta wagombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), yanendelea kutolewa, ambapo moaka sasa, wafuatao wamepitishwa na wajumbe kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi ujao: Dar es salaam Ubungo…
SIASA TANGULIZI Mawakili wa Lissu wakemea manyanyaso dhidi ya mteja wao August 1, 2025 Erasto Masalu JOPO la mawakili wa Tundu Lissu, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini (Chadema), anayeshikiliwa gerezani kwa tuhuma za uhaini, wameituhumu serikali, kumtomtendea haki mteja wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
SIASA TANGULIZI Nani kapita, nani katemwa ubunge CCM? July 29, 2025 Erasto Masalu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza majina ya walioteuliwa kushiriki kura za maoni kwa ajili ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Uteuzi…
SIASA CCM ‘iwachinje’ wanaonunua ubunge July 27, 2025 Erasto Masalu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kinaketi mjini Dodoma kwa ajili ya kuchuja majina ya wanachama wake walioomba kukiwakilisha chama hicho katika nafasi za ubunge na uwakilishi, kwenye uchaguzi mkuu wa…
SIASA TANGULIZI Kampeini uchaguzi mkuu kuanza 28 Agosti July 26, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jacobs Mwambegele, ameweka wazi ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wa Rais, Wabunge katika Jamhuri…
SIASA TANGULIZI CCM kufanya marekebisho madogo ya Katiba July 25, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kiweka wazi sababu ya kufanya mkutano mkuu maalumu wa chama hicho kesho kwa njia ya mtandao na kueleza kuwa ajenda ni moja tu. Anaripoti Danson Kaijage,…