HABARI MCHANGANYIKO SIASA Takukuru yaonya wagombea wanaolipuka na ahadi za kampeni September 11, 2025 Erasto Masalu TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), mkoani Iringa, imeweka msimamo mkali dhidi ya wagombea wanaojihusisha na kutoa ahadi za uongo wakati huu wa kampeni. Anaripoti Zakia Nanga,…
SIASA TANGULIZI Mahakama kuamua hatma ya Lissu Jumatatu September 11, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu, jijini a Dar es Salaam, itaamua pingamizi la Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) dhidi ya Serikali, Jumatatu wiki ijayo. Anaripoti Zakia Nanga, Dar…
SIASA TANGULIZI Waliofungua kesi ya mgawanyo wa raslimali za Chadema waibua mapya September 10, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, itatoa uamuzi wa maombi madogo yaliyowasilishwa kwenye shauri la mgawanyo wa raslimali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuomba nyaraka za vikao…
SIASA TANGULIZI Rais Samia azidi kumwaga ahadi Igunga September 10, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Igunga kuunga mkono chama chake, kuekea uchaguzi mkuu ujao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora … (endelea). Akizungumza…
SIASA TANGULIZI Kingu amshukia Humphrey Polepole September 9, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Ubunge wa Ikungi Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elibariki Kingu, ameeleza kuwa Chama hicho kilikubaliana kwa pamoja kwa kuzingatia kanuni na taratibu kumpitisha Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kuendelea Mahakama Kuu muda huu September 8, 2025 Erasto Masalu KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo Jumatatu,tarehe 8 Septemba 2025, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam,…
SIASA Samia aahidi ujenzi wa jengo la Machinga Complex Iringa September 7, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan, amesema ni dhamira yake kuwa kabla hajaondoka madarakani awe amefanikisha upatikanaji…
SIASA TANGULIZI Mkituchagua tena tutaendelea kutoa ruzuku ya mbolea September 7, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Urais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema ikiwa watanzania watampa ridhaa ya kuongoza tena kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, serikali yake itajikita katika…
SIASA TANGULIZI Samia ajivunia ahadi zake za nyuma September 6, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu ujao, Samia Suluhu Hassan, ameendelea kujimwagia sifa ya kutekeleza ahadi zake. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Rais Mwinyi akemea kauli za uchochezi September 5, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Wawakilishi, Dk Hussein Mwinyi, amewataka viongozi wa dini, wanasiasa, waandishi wa habari na wananchi kukemea kauli zinazoweza kuvuruga amani katika kipindi hiki…