SIASA TANGULIZI Lissu agoma kuendelea na kesi hadi wafuasi wake waingie mahakamani September 16, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendele (Chadema), amegoma kuendelea na kesi yake ya uhaini inayomkabili, kufuatia madai kuwa wafuasi wake, wamezuiwa kufuatilia shauri hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
SIASA Jeshi la Polisi liwaachie wale wote waliokamatwa Mahakamani leo September 15, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob, amelaani vikali tukio lililofanywa na jeshi la Polisi kwa wanachama wa chama hicho waliofika Mahakamani kufuatilia kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa…
SIASA ACT yapinga kuenguliwa mgombea wao wa urais September 15, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha ACT Wazalendo kimetoa tamko rasmi kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wa kumuondoa mgombea wake wa urais, Luhaga Mpina, kwenye orodha ya wagombea wa…
SIASA Mahakama yatupilia mbali pingamizi la Lissu, kesi kuendelea September 15, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam ……
SIASA TANGULIZI Mpina aenguliwa tena mbio za kusaka Urais September 15, 2025 Erasto Masalu TUME ya Uchaguzi, imemuengua katika kinyang’anyiro cha urais, mgombea wa chama cha ACT- Wazalendo, Luhaga Mpina. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mpina ameondolewa katika orodha ya wagombea wa urais…
SIASA Polisi wanaendelea kumshikiria kada wa Chadema kwa kusambaza taarifa za uzushi September 14, 2025 Erasto Masalu JESHI la Polisi mkoani Morogoro, bado linaendelea kumshikilia Lucy Shayo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), likimtuhumu kusambaza taarifa za uwongo, uzushi na zinazoleta taharuki. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
SIASA TANGULIZI Mpina awekewa pingamizi, ACT wajibu mapigo September 14, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA urais wa Tanzania, kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Luhaga Mpina, amewekewa mapingamizi yanayoweza kumuondoa kwenye kinyang’anyiro hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mapingamizi dhidi ya Mpina yamewewasilishwa Tume…
SIASA TANGULIZI Samia agoma kumuombea kura Baba Levo September 14, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, amegoma kumpigia kampeni mgombea ubunge wa chama chake, katika jimbo la Kigoma Mjini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea). “Ninyi wote ni watoto wangu. Kwa sababu,…
SIASA TANGULIZI OMO, Mwinyi jino kwa jino urais Zanzibar September 12, 2025 Erasto Masalu HATIMAYE Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imepitisha na kuwapa ridhaa ya kuwania urais wagombea 11 wakaopambana katika kinyang’anyiro kitakachofanyika tarehe 29 Septemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea).…
SIASA TANGULIZI Mpina ashinda kesi, mahakama yamruhusu kurudisha fomu September 11, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Urais wa JMT kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameruhusiwa kurudisha Fomu ya Uteuzi na Tume Huru ya Uchaguzi imeamriwa kupokea na kuendelea na taratibu nyinginezo. Anaripoti Mwandishi Wetu.…