SIASA TANGULIZI Kesi ya Lissu kuanza kutolewa ushahidi Oktoba 6, Samia atajwa September 22, 2025 Erasto Masalu JUMLA ya mashahidi 30 wa upande wa Jamhuri wataanza kutoa ushahidi wao kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu kuanzia tarehe 6…
SIASA Wananchi wa Fumba wamwaga machozi kuporwa ardhi zao September 22, 2025 Erasto Masalu WANANCHI wa Fumba Wilaya ya Magharibi B Unguja wameeleza kwa uchungu na masikitiko makubwa juu ya kuendelea kuporwa ardhi zao kutokana na uwekezaji mkubwa wa utalii unaoendelea katika maeneo yao.…
SIASA Othman amuaga mwanachama mwadilifu ACT Wazalendo September 22, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Urais wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameungana na viongozi wa Chama, viongozi wa dini pamoja na wananchi katika hafla ya kuuaga mwili wa Hawa Moses Kulola maarufu kama…
SIASA Tume ya uchaguzi yaipiga stop ACT-Wazalendo September 22, 2025 Erasto Masalu TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema kuwa Chama cha ACT-Wazalendo, hakina mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wala mgombea wake mwenza, katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka…
SIASA TANGULIZI Majaji Mahakama Kuu wayakataa mapingamizi ya Lissu, kesi inaendelea September 22, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imeyatupa mapingamizi mawili yaliyowekwa na Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika kesi yake ya uhaini. Anaripoti Kevin…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Viongozi wa dini wafanya matembezi ya Amani kuombea taifa September 20, 2025 Erasto Masalu VIONGOZI wa madhehebu ya kidini nchini, wamefanya matembezi ya amani leo Jumamosi, tarehe 20 Septemba, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). “Viongozi wa dini…
SIASA Mkuu wa INEC akagua maandalizi ya uchaguzi Mbeya September 20, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele, ametembelea vituo vya uchaguzi, ili kujionea maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam ……
SIASA TANGULIZI Chadema wamlilia Nyalusi September 19, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika wilaya ya Iringa Mjini, Frank Nyalusi, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa, tarehe 19 Septemba 2025. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa…
SIASA Wahenga aahidi maturubai Kinyerezi September 19, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA Udiwani katika Kata ya Kinyerezi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) John Mrema (Wahenga Aluminium) amesema endapo atachaguliwa kuwa diwani katika hiyo hatakuwa tayari kuona maturubai katika kipindi…
SIASA TANGULIZI Hatma kesi ya Lissu kujulikana Sept 22 September 18, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imepanga kutoa uamuzi mdogo kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu Jumatatu ya tarehe…