HABARI ZA MICHEZO KIMATAIFA TANGULIZI Rais wa soka wa DCR-Kongo, ahukumiwa kifungo cha maisha gerezani March 10, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Shirikisho la Soka, katika Jamhuri ya Kongo (FECOFOOT), Jean-Guy Blaise Mayolas, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Wallace Karia wa DRC…
KIMATAIFA TANGULIZI Mojtaba Khamenei ndiye mrithi wa Ayatollah Ali Khamenei, Iran March 9, 2026 Erasto Masalu BARAZA la Wataalamu la Iran limemtangaza Mojtaba Khamenei, mwana wa marehemu Ayatollah Ali Khamenei, kuwa kiongozi mkuu mpya wa nchi hiyo. Tangazo hilo, limetolewa jana Jumapili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
KIMATAIFA TANGULIZI Mazishi ya kitaifa ya Ali Khamenei yaahirishwa March 5, 2026 Erasto Masalu MAZISHI ya kitaifa ya Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Iran, Ali Khamenei, yaliyokuwa yamepangwa kuanza leo tarehe 4 Machi 2026, yameahirishwa kwa muda usiojulikana. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).…
KIMATAIFA TANGULIZI Ronaldo akimbia vita Saudia, aelekea Madrid March 3, 2026 Erasto Masalu NDEGE binafsi ya mchezaji nyota wa soka wa kimataifa, Cristiano Ronaldo, imeondoka ghafla nchini Saudia Arabia. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa zinasema, ndege ya Ronaldo, imeondoka…
KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Vigogo hawa wameondoka, katika vita kati ya Marekani na Iran March 2, 2026 Erasto Masalu MASHAMBULIZI ya kijeshi ya Marekani na Israel nchini Iran, yamewaondoa maisha ya makumi ya viongozi waandamizi wa taifa hilo la Kiarabu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kwa…
KIMATAIFA Ikiwa ndio mwanzo unajiunga nasi… March 1, 2026 Erasto Masalu VYOMBO vya habari vya serikali ya Iran, vimethibitisha kwamba Kiongozi Mkuu Ali Khamenei ameuawa, katika mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kutoka ambayo yalianza Jumamosi asubuhi (saa za…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Ayatollah Ali Khamenei: Kiongozi Mkuu wa Iran athibitika kuawa March 1, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amefariki dunia, saa chache baada ya taifa lake na Israel kufanya mashambulizi makubwa nchini Iran. Anaripoti Mwandishi…
KIMATAIFA TANGULIZI Kuna dalili za kiongozi mkuu wa Iran kuuawa February 28, 2026 Erasto Masalu MAOFISA wa ngazi ya juu wa Israel wanasema, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamanei, ameuawa kwa makombora. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa…
KIMATAIFA TANGULIZI Marekani, Israel yaishambulia Iran February 28, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Marekani, Donald Trump, amechapisha video ya dakika nane kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth Social na kuthibitisha kuwa taifa lake, limehusika katika shambulizi dhidi ya Iran. Anaripoti…
KIMATAIFA Ndege ya abiria yatua baharini kwa dharura Mogadishu February 10, 2026 Erasto Masalu NDEGE moja ya kiraia iliyokuwa na watu 55 imetua baharini karibu na uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aden Adde mjini Mogadishu, baada ya rubani kufanya uamuzi wa kutua karibu…