HABARI ZA MICHEZO KIMATAIFA Rais Tshisekedi awatunuku nyumba na gari kila mchezaji kwa kufuzu kombe la Dunia April 6, 2026 Fedrick Gama RAIS Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amemtunuku kila Mchezaji wa timu ya Taifa ya soka gari na nyumba baada ya kufuzu kwa kombe la Dunia mwaka…
KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Israel yadai kumuua mkuu wa intelijensia wa Iran April 6, 2026 Fedrick Gama WAZIRI wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema Jumatatu kuwa jeshi la nchi hiyo limemuua mkuu wa intelijensia wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran.Anaripoti Mwandishi wetu, Dar es…
KIMATAIFA Milipuko yatikisa Bujumbura April 1, 2026 Erasto Masalu MJI mkuu wa kibiashara nchini Burundi – Bujumbura, umekumbwa na milipuko jana Jumanne, tarehe 31 Machi 2026. Anaripoti Karenga Ramadhani, kutoka Bunjumbura … (endelea). Kwa mujibu wa mashuhuda, mlipuko hiyo,…
KIMATAIFA Museveni aelezea chakula kilichomsaidia kupunguza uzito kwa kilo 30 March 25, 2026 Erasto Masalu “LISHE ya mihogo, viazi vitamu na mboga za asili zimenisaidia kupunguza kilo 30,” ameeleza Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amenukuliwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
KIMATAIFA TANGULIZI Netanyahu achezea kipigo, aomba msaada mataifa mengine March 23, 2026 Erasto Masalu BENJAMIN Netanyahu, Waziri Mkuu wa muda mrefu nchini Israel, ametaka mataifa mengine ulimwenguni, kujiunga katika vyake na Iran. Amesema, mashambulizi ya Iran ya majuzi dhidi ya taifa lake na mataifa…
KIMATAIFA TANGULIZI Iran yathibitisha kuwa Waziri wa Ujasusi ameuawa March 18, 2026 Erasto Masalu WAZIRI wa Ujasusi wa Iran, Esmail Khatib, ameuawa. Rais wa Iran amethibitisha kuwa waziri huyo wa ujasusi, Esmail Khatib amethibitisha katika taarifa yake kwa umma. Awali, Israel ilisema ilimuua Khatib…
KIMATAIFA Mojtaba Khamenei yuko salama kiafya na anaongoza kikamilifu – Iran March 15, 2026 Erasto Masalu WAZIRI wa masuala ya kigeni wa Iran, Abbas Araghchi, amesema Alaraby Aljadeed kwamba Mojtaba Khamenei yuko salama na mwenye afya njema” na “anaongoza kikamilifu.” Mojtaba (56), hajajitokeza hadharani tangu alipoteuliwa…
KIMATAIFA TANGULIZI Iran yaapa kumuua Benjamin Netanyahu March 15, 2026 Erasto Masalu JESHI la Iran (IRGC), limeapa kumfuatilia na kumuua waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Vyanzo vya taarifa vya serikali ya Iran, ikiwamo…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA MAKALA & UCHAMBUZI TANGULIZI Nani alifariki pamoja na Ali Khamenei? March 14, 2026 Erasto Masalu RIPOTI za kuuawa kwa baadhi ya ndugu wa kiongozi wa zamani wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, zimeibua maswali kuhusu ni nani bado wamesalia katika familia hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
HABARI ZA MICHEZO KIMATAIFA TANGULIZI Rais wa FA ya Congo afungwa maisha jela March 12, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Chama cha Soka cha Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville – FECAFOOT) amefungwa maisha baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa dola za Kimarekani 1.3 milioni zilizotolewa na…