KIMATAIFA Hongereni Wananchi mmeilinda Iran-Mojtaba Khamenei April 8, 2026 Fedrick Gama KIONGOZI Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Ayatollah Seyyed Mojtaba Khamenei, ametoa pongezi kwa Wananchi wa Iran kufuatia kusitishwa kwa muda wa wiki mbili kwa vita kati ya Iran…
KIMATAIFA Trump ajigamba kushinda vita dhidi ya Iran baada ya makubaliano April 8, 2026 Fedrick Gama RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema hana shaka kuwa taifa lake limepata ushindi kamili kufuatia makubaliano ya kusitisha vita kwa muda wa wiki mbili kati yake na Iran. Anaripoti mwandishi…
KIMATAIFA Museveni na Kikwete wakutana kujadili Amani ya Sudani Kusini April 8, 2026 Fedrick Gama RAIS wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amekutana na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Tanzania na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Afrika (AU) kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na…
BIASHARA KIMATAIFA TANGULIZI Bei ya mafuta yashuka duniani April 8, 2026 Erasto Masalu BEI ya mafuta duniani imeshuka kwa kasi kubwa kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran, yaliyotangazwa hivi karibuni na kupunguza hofu ya uhaba wa nishati katika soko…
KIMATAIFA TANGULIZI Vita yasitishwa, Iran yajiona mshindi April 8, 2026 Erasto Masalu SERIKALI ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na vyombo vya habari vya taifa hilo vinasema, makubaliano ya kusitisha mashambulizi kwa muda ni ushindi mkubwa kwa wananchi wake. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
KIMATAIFA Trump atoa tishio jipya kwa Iran April 7, 2026 Fedrick Gama RAIS wa Marekani Donald Trump ametoa tishio jipya kwa Iran akionya kwamba mashambulizi makubwa yanaweza kutokea leo usiku huku muda wa mwisho aliotoa kwa Iran kufanya makubaliano na kufungua Mlango-Bahari…
KIMATAIFA Rais wa Sudan kusin,amtimua Spika na Naibu Spika April 7, 2026 Fedrick Gama RAIS wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemfuta kazi Spika wa Bunge la nchi hiyo, Jemma Nunu Kumba pamoja na Naibu wake, Permena Awerial Aluong, kupitia amri iliyosomwa bungeni Jumanne. Anaripoti…
KIMATAIFA Gavana wa zamani Urusi ahukumiwa miaka 14 Gerezani kwa Rushwa April 7, 2026 Fedrick Gama MAHAKAMA ya Urusi imemuhukumu Gavana wa zamani wa eneo la Kursk, Alexei Smirnov, kifungo cha miaka 14 jela kwa ufisadi. Anaripoti mwandishi Wetu, Dar es salaam …(endelea). Msururu wa maafisa…
KIMATAIFA Marekani kutoza tozo meli Hormuz April 7, 2026 Fedrick Gama RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema nchi yake inaweza kuanzisha mfumo wa kutoza ada kwa meli zinazopita katika Mlango wa Hormuz baada ya vita kumalizika, akidai kuwa Marekani ndiyo mshindi…
KIMATAIFA Milio ya risasi yasikika karibu na Ikulu ya Marekani, uchunguzi waanza April 6, 2026 Fedrick Gama IDARA ya Marekani ambayo inamlinda Rais na Maafisa wengine wa sasa na wa zamani, wanachunguza ripoti ya milio ya risasi iliyosikika karibu na Ikulu ya White House.Anaripoti mwandishi wetu,Dar es…