KIMATAIFA SIASA Tanzania kujisogeza Ulaya, Zungu apiga hodi Serbia February 10, 2026 Erasto Masalu WAKATI uhusiano wa Tanzania na mataifa ya Ulaya ukiyumba Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu amefanya mazungumzo ya kikazi na Spika wa Bunge la…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Rais Museven kuwasili Tanzania kesho kwa ziara ya kikazi February 6, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumamosi 7 Februari 2026, kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea). Kwa mujibu…
KIMATAIFA TANGULIZI Rais Kiir ateuwa aliyekufa miaka 5 iliyopita kusimamia uchaguzi February 3, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemteua mtu aliyekufa kuwa mjumbe wa kamati itakayoandaa uchaguzi wa nchi yake. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Msemaji wa ofisi ya rais, amesema…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Tume.yamtangaza Museven mshindi Urais Uganda January 17, 2026 Erasto Masalu TUME ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama mshindi wa uchaguzi uliofanyika Alhamisi wiki hii, akiwa na jumla ya kura 7,946,772 ambayo ni asilimia 71.65% ya kura…
KIMATAIFA TANGULIZI Watu 100 wameuawawa shambulio la kukamatwa Maduro January 8, 2026 Erasto Masalu WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Venezuela, Diosdado Cabello amesema, takribani watu 100 wameuawawa katika shambulio la Marekani la Jumamosi lililomuondoa madarakani, Rais Nicolás Maduro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…
KIMATAIFA TANGULIZI Kiongozi wa kijeshi Burkina Faso anusuruka kuuawa January 7, 2026 Erasto Masalu KAMPTENI Ibrahim Traore, kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, amenusurika kuuliwa. Serikali ya taifa hilo la Afrika Magharibi, imetangaza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kwa mujibu wa…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Maduro afikishwa mahakamani Marekani January 5, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Venezuela, aliyeng’olewa mamlakani, Nicolás Maduro, tayari amefikishwa katika mahakama ya New York, nchini Marekani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Rais aliyeondolewa madarakani wa alikamatwa katika…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Nchi sita zapinga kukamatwa kwa Rais wa Venezuela January 5, 2026 Erasto Masalu IKIWA ni siku moja imepita tangu vikosi vya Marekani kumkamata Rais Nicolas Maduro, Nchi sita ikiwemo Colombia zatoa taarifa ya pamoja zikitaja shambulio la Marekani dhidi ya Venezuela kuwa “mfano…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Trump amuonya kiongozi wa muda wa Venezuela January 5, 2026 Erasto Masalu RAIS Donald Trump amemuonya Rais wa muda wa Venezuela, Delcy Rodríguez, kwamba anaweza kukabiliwa na adhabu kali kuliko ya Maduro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Rais wa…
KIMATAIFA Rais Maduro kushitakiwa Marekani January 3, 2026 Erasto Masalu WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, atafikishwa mahakamani nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amesema, Maduro atakabiliwa na mashitaka nchini Marekani, kutokana…