KIMATAIFA SIASA Karume kiongozi misheni ya SADC uangalizi wa uchaguzi Msumbiji September 30, 2024 Erasto Masalu RAIS Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, amewasili jijini Maputo, Msumbiji kwa ajili ya kuongoza, Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC SEOM), katika…
KIMATAIFA Wanaanga waliokwama anga za juu kurejea duniani Februari 2025 September 30, 2024 Erasto Masalu CHOMBO cha SpaceX kilichotumwa kuwarudisha wanaanga wawili waliokuwa wamekwama kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS), kimetia nanga. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hata hivyo, chombo hicho…
KIMATAIFA Israel yazidisha mashambilizi, ikiapa kuiteketeza Hezbollah September 30, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Ulinzi wa Israel, Yoav Gallant, amekutana na wanajeshi karibu na mpaka wa Lebanon na kuwaambia watawarudisha raia waliokimbia makazi yao kaskazini mwa Israel kwa ‘njia zetu zote.’ Inaripoti…
KIMATAIFA TANGULIZI Hezbollah yathibitisha kifocha kiongozi wake, yaapa kuendeleza vita September 28, 2024 Erasto Masalu KUNDI la wanamgambo la Hezbollah la nchini Lebanon, limethibitisha kuuawa kwa kiongozi na mmoja wa waanzilishi wake, Hassan Nasrallah, katika shambulizi la anga la Israel jana, Septemba 27. Inaripoti Mitandao…
KIMATAIFA Hezbollah wajibu mapigo September 28, 2024 Erasto Masalu KUNDI la wapiganaji wa Hizbollah, nchini Lebanon limejibu mapigo baada ya Israel kuyashambulia makao makuu yake huko Hezbollah, Beirut. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endela). Israel ilifanya mashambulizi kadhaa kwenye makao…
KIMATAIFA Tshisekedi ataka Rwanda iwekewe vikwazo September 26, 2024 Erasto Masalu RAIS Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi, ametoa wito Jumuiya kwa Kimataifa kuiwekea Rwanda, vikwazo kutokana na kuwaunga mkono waasi wa M-23, wanaoendesha vita mashariki mwa nchi hiyo. NEW…
KIMATAIFA Netanyahu aelekeza ‘kichapo’ zaidi kwa Hezbollah September 26, 2024 Erasto Masalu Siku moja baada ya kuambiwa asitishe vita huko Lebanon, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameliambia jeshi lake kuendelea kupigana kwa “nguvu” yake yote kusambaratisha kile alichoita ni ugaidi. Inaripoti…
KIMATAIFA Bunge laanzisha mchakato kumwondoa Rais Macron September 18, 2024 Erasto Masalu OFISI ya Bunge la taifa Jumanne Septema 17, 2024 imetoka taarifa juu mchakato wa kutimuliwa kwa Rais Emmanuel Macron uliowasilishwa na baadhi ya waunge wa chama cha New Popular Front.…
KIMATAIFA Milio ya risasi yasikika katika mji mkuu wa Mali September 17, 2024 Erasto Masalu Milio ya risasi imesikika katika mji mkuu wa Mali, Bamako na kusababisha ripoti kwamba kambi moja ya usalama imeshambuliwa. Inaripoti BBC, Bamako, Mali Video kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha moshi…
KIMATAIFA Baa la njaa laikumba Sudan September 17, 2024 Erasto Masalu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema nchi ya Sudan iliyokumbwa na vita inakabiliwa na njaa ‘kila mahali.’ Inaripoti Mitandao ya Kimataifa, Khartoum, Sudan…