HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Waziri Mkuu, Naibu Spika kuthibitishwa kesho bungeni November 12, 2025 Erasto Masalu SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho tarehe 13 Novemba 2025, Bunge la 13 katika Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Tatu, litakuwa…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Hatujatolewa kwa sababu ya maridhiano -Heche November 11, 2025 Erasto Masalu JOHN Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Demokrasia), amesema kuwa viongozi wa chama hicho hawakuachiwa kwa dhamana kutoka mikononi mwa Jeshi la Polisi kwa sababu ya mazungumzo…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Zungu Spika mpya wa Bunge November 11, 2025 Erasto Masalu MBUNGE wa Ilala (CCM), Mussa Azzan Zungu, amechaguliwa rasmi kuwa Spika mpya wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Zungu amepata kura 378, katika kura 383 zilipigwa.…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Heche, Lema, Golugwa na Jacob, waachiliwa kwa dhamana November 10, 2025 Erasto Masalu VIONGOZI wandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na Naibu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, wameachiwa kwa dhamana. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Mbali…
HABARI MCHANGANYIKO Rais Mwinyi asisitiza Serikali ya Umoja wa Kitaifa November 10, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi, amesisitiza serikali yake itaheshimu maridhiano na kuendesha serikali ya umoja wa kitaifa (SUK). Anaripoti Shamsa Haji, Dar es…
HABARI MCHANGANYIKO Uhamiaji kukanusha unyang’anyi wa pasipoti November 10, 2025 Erasto Masalu IDARA ya Uhamiaji imekanusha taarifa zinazosambazwa kupitia klipu ya sauti kwenye mitandao ya kijamii zikidai kwamba raia wa Tanzania wanaorejea nchini kutoka nje wananyang’anywa pasipoti na fedha zao katika viwanja…
HABARI MCHANGANYIKO Serikali yaweka pingamizi kesi ya Heche dhidi ya IGP November 10, 2025 Erasto Masalu UPANDE wa Jamhuri umeweka pingamizi kwenye kesi John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) aliyomshtaki Inspekta Jenerali wa Polisi (IJP) na wenzake kwa kumshikilia kinyume cha…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Kesi ya Lissu yaahirishwa kwa sababu za kiusalama November 10, 2025 Erasto Masalu SHAURI la uhaini linalomkabili Tundu Lissu, mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini – CHADEMA, limeahirishwa hadi Jumatano ya 12 Novemba, kwa kile kilichoelezwa kuwa “sababu za kiusalama.” Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Chadema yalaani kukamatwa viongozi wake November 8, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelaani hatua ya vyombo vya dola kuwasaka na kuwakamata viongozi wake. Kinasema, kitendo hicho, kinalenga kukivuruga na kuvuruga uendeshaji na shughuli zake. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Heche akimbizwa hospitali, Lema, Jacob wakamatwa November 8, 2025 Erasto Masalu MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora.…