BIASHARA Prof. Kitila aeleza mafanikio ya uwekezaji wa DP World na mradi wa SGR November 1, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais -Mipango na Maendeleo, Prof. Kitila Mkumbo, leo tarehe 01 Novemba 2024 amewasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 ambapo ameeleza…
SIASA TANGULIZI Wajumbe wa CCM Dodoma wamkataa mgombea aliyeteuliwa November 1, 2024 Erasto Masalu WAJUMBE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtaa wa Chinyoya Kata ya Kilimani Wilaya ya Dodoma Mjini, Jijini Dodoma wamemkata Mgombea aliyeteuliwa na chama hicho kuwania nafasi ya uwenyekiti wakidai…
BIASHARA Ushirikishwaji wa wanawake na wenye ulemavu wasisitizwa kuongeza Maendeleo November 1, 2024 Erasto Masalu KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua rasmi Ripoti yake ya Uendelevu ya 2024 yenye kauli mbiu ‘Kusimamia Ujumuishwaji na Ushirikishwaji’, mnamo Oktoba31, 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
KIMATAIFA Chama tawala Botswana chaangushwa vibaya November 1, 2024 Erasto Masalu WAPIGAKURA nchini Botswana wamekikataa chama tawala cha muda mrefu cha nchi hiyo (BDP) katika matokeo ambayo yanaashiria tetemeko la ardhi la kisiasa katika taifa hilo lenye utajiri mkubwa wa almasi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Rostam ataka wakopeshaji wakubwa duniani kuipunguzia Afrika riba October 31, 2024 Erasto Masalu Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz, ametoa wito kwa mashirika makubwa ya kifedha duniani kupunguza riba za mikopo kwa Afrika ili ziwe sawa na zile zinazotolewa kwa mataifa ya Ulaya, Marekani,…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TMA yatoa utabiri wa mvua za msimu wa Novemba 2024 hadi Aprili 2025 October 31, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa mvua za msimu kwa maeneo yanayopata mvua mara moja kwa mwaka. Maeneo hayo ni mikoa ya Kigoma, Katavi, Singida,…
HABARI ZA MICHEZO Ushindi ni nje nje ukibashiri na Meridianbet October 31, 2024 Erasto Masalu Alhamisi ya leo ni ya kuibuka na ushindi ndani ya mabingwa wa ODDS KUBWA Meridianbet ambapo mechi kibao zinapigwa leo hii. Nafasi ya kuwa Milionea ndio hii sasa usisubirie kuhadithiwa.…
BIASHARA Beach Penalties inaendelea kutoa mamilionea October 31, 2024 Erasto Masalu Mchezo wa kasino wa Beach Penalties unaendelea kutoa mamilionea kwani wadau kibaoambao wanacheza mchezo huo wanafanikiwa kushinda mikwanja, Umebaki wewe tukuweza kujumuika na washindi. Umahiri wako wa kupiga mikwaju ya…
BIASHARA Vodacom yafanya maboresho makubwa kuwahakikishia wateja huduma bora October 31, 2024 Erasto Masalu KAMPUNI kinara ya teknolojia na mawasiliano nchini, Vodacom Tanzania, imetangaza kufanya mabadiliko makubwa katika miundombinu ya mtandaowake ikiwa ni sehemu ya kuwahakikishia wateja wake huduma bora na za kisasa zaidi.…
BIASHARA Ni zamu ya Ali Maua Kijitonyama October 29, 2024 Erasto Masalu Leo imekua zamu ya Ali Maua Kijitonyama kufikiwa na kampuni ya Meridianbet ambapo wameendelea kufanya ambayo wamekua wakiyafanya mara kwa mara ambapo wamefanikiwa kutoa msaada kwa jamii. Meridianbet wamefanikiwa kufika…