SIASA Mpina rasmi bungeni kesho October 29, 2024 Erasto Masalu MBUNGE wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina, anamaliza adhabu yake ya kutohudhuria vikao 15 vya Bunge, aliyopewa tarehe 24 Juni, mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Aliadhibiwa kwa kosa…
ELIMU Wanafunzi wote Hazina ya Magomeni wafaulu kwa alama A darasa la saba October 29, 2024 Erasto Masalu WANAFUNZI wote wa Shule ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam wamefaulu kwa alama A kwenye matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa leo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…
ELIMU Maelfu wakwama kufanya mtihani darasa la saba October 29, 2024 Erasto Masalu WANAFUNZI 25,875 waliopaswa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2024, hawakufanya mtihani huo. Anaripoti Restuta James, Dar es Salaam … (endelea). Aidha, watahiniwa 907,429 waliofanya mtihani huo wamefaulu…
KIMATAIFA Mtaalamu wa kemia kiongozi mpya Hezbollah October 29, 2024 Erasto Masalu Hezbollah imemteua Amin Qassem, kuwa Katibu Mkuu wa kundi hilo, kurithi nafasi ya Hassan Nasrallah, aliyeuawa na majeshi ya Israel, mwezi mmoja uliopita. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Nasrallah…
HABARI MCHANGANYIKO Wafugaji watamba kuwaweka viongozi wa wilaya mfukoni October 29, 2024 Erasto Masalu WAFUGAJI wa kata ya Gwata wilayani hapa, wametamba kuwa hakuna anayeweza kuwafanya chochote juu ya madai ya wakulima wa eneo hilo, wanaolalamikia mazao yao kuliwa na ng’ombe wa wafugaji hao.…
HABARI MCHANGANYIKO Mateso ya wazabuni Liwale, 15 wadhulumiwa malipo fedha zao October 29, 2024 Erasto Masalu WAFANYABIASHARA wanaopewa zabuni za ujenzi wa miradi ya Serikali wilayani Liwale, wamesusa kazi hizo baada ya wakandarasi wengi kudhulumiwa mamilioni ya fedha za kazi wanazofanya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Liwale, Lindi…
ELIMU TANGULIZI Necta watangaza matokeo ya darasa la saba 2024 October 29, 2024 Erasto Masalu BARAZA la Mtihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2024 ambapo ufaulu umeongeza tofauti na mwaka jana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kutazama…
KIMATAIFA Israel yapiga marufuku UN kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina October 29, 2024 Erasto Masalu BUNGE la Israel limepiga kura kupitisha sheria ya kupiga marufuku shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Palestina (UNRWA). Sheria hiyo inaondoa kinga ya kisheria kwa wafanyakazi wa…
HABARI MCHANGANYIKO Waandishi Bora wa habari za Hali ya Hewa watunukiwa Tuzo October 29, 2024 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Bodi Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari amewatunukia rasmi tuzo waandishi wa habari waliofanya vizuri kwa kipindi cha kuanzia mwezi Julai 2023 hadi…
BIASHARA Burgeoning property market impresses Coldwell Banker Real Estate October 29, 2024 Erasto Masalu WITH a projected value of 1.5 billion US dollars as of 2019 compared to USD 1.2 billion in 2015 and contributing 3.1 percent to the country’s real GDP, Tanzania’s real…