HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Korti yabariki Tamisemi isimamie uchaguzi October 28, 2024 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Oktoba 28.2024 imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa Mahakamani hapo na Watanzania watatu (3) ambao ni Bob Chacha Wangwe,…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Aweso awahakikishia upatikanaji wa maji Dar na Pwani October 28, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Maji Juma Aweso amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam na Pwani upatikanaji wa maji safi na salama katika mikoa hiyo kwani Changamoto ya hitilafu ya mtambo wa kuzalisha…
ELIMU Wanafunzi Hazina wamkosha Waziri wa Ulinzi October 28, 2024 Erasto Masalu WANAFUNZI wa shule ya Kimataifa ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, wameonyesha umahiri mkubwa kwenye siku ya Umoja wa Mataifa (UN) kwa kutoa mada zilizowavutia wageni waalikwa.…
HABARI ZA MICHEZO Ten Hag atimuliwa Manchester United October 28, 2024 Erasto Masalu Klabu ya Manchester United imemtimua meneja wake, Erik ten Hag baada ya miaka miwili ya kuiongoza klabu hiyo. Inaripoti Mitandao ya KImataifa, Manchester, England … (endelea). Mholanzi huyo alielezwa kuhusu…
HABARI MCHANGANYIKO Tanzania kurusha Satelaiti yake ya kwanza October 28, 2024 Erasto Masalu TANZANIA inajiandaa kurusha Satelaiti ya kwanza itakayolinda mipaka na Bayoanuwai katika hifadhi na mapori nchini. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam …(endelea). Satelaiti hiyo iliyopewa jina la TanSar1, imetengenezwa na…
HABARI MCHANGANYIKO Bil 379 kukarabati reli ya Tabora – Mpanda October 28, 2024 Erasto Masalu SERIKALI imepanga kutumia Sh. 379.3 bilioni kwa ajili ya ukarabati wa reli yenye urefu wa kilomita 210 kutoka Kaliua, Tabora hadi Mpanda Mkoani Katavi, pamoja na ujenzi wa njia ya…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Bashungwa: Msitoke Mafia mpaka kivuko kitoe huduma October 27, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amempgia simu na kumuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro…
HABARI MCHANGANYIKO Aweso aweka jiwe la msingi ujenzi shule ya Kata Mwanuzi October 27, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amesema Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya kazi kubwa sana katika uwekezaji kwenye Miundombinu ya Elimu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Busega,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Prof. Mbarwa azindua miradi ya Bil 1.7 Katavi October 27, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameweka mawe ya msingi na kuzindua miradi minne ya maendeleo yenye jumla ya shilingi bilioni 1.793 katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi. Anaripoti Mwandishi…
HABARI ZA MICHEZO Meridianbet inakwambia hivi Pesa iko huku October 27, 2024 Erasto Masalu Ndugu mteja wa Meridianbet baada ya jana kushuhudia mechi kali zikipigwa kwenye ligi mbalimbali, leo hii pia ni bandika bandua, mechi nyingi za pesa zipo leo. Ingia na ubashiri sasa.…