BIASHARA 40 Lucky Sevens ni ushindi tu October 27, 2024 Erasto Masalu Washindi wapo sehemu moja tu kwasasa ni wale ambao wanacheza mchezo wa kasino wa40 Lucky Sevens ambao umefanikiwa kubadilisha maisha ya wengi, Kwani watuwameshinda mamilioni ya kutosha kupitia mchezo huu.…
BIASHARA Cheza Beach Penalties ndio mpango mzima leo October 27, 2024 Erasto Masalu MPANGO mzima kwasasa ni kupiga penalty tu kupitia mchezo mpya wa Kasino wa Beach Penalties, Mchezo huu umegeuka kua mchezo pendwa kwakua watu wanashinda mkwanjakirahisi kutoka na uwepesi wake wa…
HABARI ZA MICHEZO Siku ya kupiga mkwanja na Meridianbet ni leo October 26, 2024 Erasto Masalu Wikendi ya kula mkwanja mrefu na Meridianbet ni hii ya leo kwani Duniani kote kuna mechi kibao zinapigwa. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi hapa. Kama…
BIASHARA Serikali yaipongeza Puma kuanzisha Tuzo ya Mawakala, yawataka wengine waige October 26, 2024 Erasto Masalu WIZARA ya Nishati imetoa rai kwa mashirika na wadau mbalimbali nchini wakiwemo Puma Energy Tanzania kushirikiana kufanikisha azma ya Serikali ya kuhakikisha inatekeleza ipasavyo mkakati wa taifa wa nishati safi…
HABARI MCHANGANYIKO Mtendaji afungwa miaka 60 kwa ubadhirifu wa fedha za H’shauri October 26, 2024 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa, jana imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela afisa mtendaji wa kijiji cha Paramawe, Richard Kiwela (45), kwa makosa matatu, ikiwemo kuibia Halmashauri ya…
HABARI MCHANGANYIKO Waziri: Miradi ya PPP ni muhimu katika Bajeti ijayo October 26, 2024 Erasto Masalu SERIKALI imejipanga kuweka kipaumbele katika utekelezaji wa miradi mikubwa kwa ushirikiano na sekta binafsi ili kukuza uchumi kwa kiasi kikubwa katika mwaka wa fedha cha 2025/26. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
KIMATAIFA TANGULIZI Israel yaoshambulia Iran kwa njia ya anga October 26, 2024 Erasto Masalu JESHI la Israel limefanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya Iran mapema Jumamosi, kujibu kile jeshi lake linakiita “miezi ya mfululizo wa mashambulizi ” kutoka Tehran na washirika wake. Anaripoti…
BIASHARA 40 Lucky Sevens inamwaga mihelaa tu October 25, 2024 Erasto Masalu Kupitia mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wanasogezea mchezowa kasino wa 40 Lucky Sevens, Kupitia Mchezo huu unaweza kuondoka na kitita kizito. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa…
BIASHARA Kigahe: Rahisisheni zaidi mazingira ya urasimishaji biashara October 25, 2024 Erasto Masalu NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amehimiza urasimishaji wa biashara, huku akiuelekeza Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), kurahisisha taratibu za usajili. Anaripoti Restuta James, Dar…
MAKALA & UCHAMBUZI TANGULIZI Kuna sababu nyingi Tamisemi kutosimamia uchaguzi October 25, 2024 Erasto Masalu SISI raia watatu – Bob Wangwe, Bubelwa Kaiza na Ananilea Nkya, katika shauri tulilofungua Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, kwa niaba ya Raia wa Tanzania na tayari limeshasikilizwa…