KIMATAIFA ‘GEN Z’ wakwamisha mtandao mjadala wa muswada wa kuongeza muda October 25, 2024 Erasto Masalu BUNGE la Seneti limethibitisha kukumbana na matatizo ya kiufundi na mfumo wao wa barua pepe, kufuatia wimbi la mawasilisho yaliyotolewa na Wakenya kuhusu muswada wa Katiba ya Kenya (Marekebisho) (Nambari…
HABARI MCHANGANYIKO Wazalishaji mbegu feki wadakwa Magu, DC Nassari atoa ujumbe kwa wakulima October 25, 2024 Erasto Masalu VIJANA wawili wamekamatwa na vyombo za ulinzi na usalama wilayani Magu mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuzalisha na kusambaza mbegu feki za mahindi zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni…
HABARI MCHANGANYIKO Dk. Kijaji awataka kila mwanafunzi awe na mti wake mmoja October 25, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa wananchi wa Tanga kuweka kipaumbele suala la usafi katika maeneo wanayoishi pamoja na…
BIASHARA Suluhisho la kupiga mkwanja lipo Meridianbet October 24, 2024 Erasto Masalu KILA siku unawaza wapi utaweza kupiga mkwanja tena mrefu na kwa jinsihali hii ilivyokuwa ngumu, basi usipate shaka, Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet imekuletea suluhu. Ni mchezo “Rich Panda”. Mchezo…
HABARI MCHANGANYIKO Sekta nne kuimarisha uhusiano wa Tanzania, Pakistan October 24, 2024 Erasto Masalu TANZANIA na Pakistan, zimekubaliana kupanua wigo wa ushirikiano ili kukuza uhusiano wa nchi hizo mbili, wakizingatia vipaumbele na manufaa ya wananchi wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam wailteta kampuni ya ‘Volkswagen’ nchini October 24, 2024 Erasto Masalu KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea bandari hiyo na kueleza kuridhishwa kwake…
HABARI MCHANGANYIKO Tume ya Madini yarekodi mafanikio makubwa, mazingira wezeshi yatajwa kukoleza kasi October 24, 2024 Erasto Masalu TUME ya Madini Tanzania imeendelea kurekodi mafanikio makubwa katika nyanja mbalimbali ikiwemo makusanyo ya maduhuli yanayochochewa na mazingira wezeshi ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia…
ELIMU DC Mpogolo aipa tano CBE kwa kuwapa elimu ya bure wajasiriamali October 24, 2024 Erasto Masalu MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa kuanza kuwapa mafunzo ya bure ya ujasiriamali wanawake wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar…
HABARI MCHANGANYIKO Wadau wa kilimo wanufaika na ugunduzi wa mbegu za Tari October 24, 2024 Erasto Masalu WAKULIMA, wazalishaji wa mbegu na wasindikaji wa bidhaa za kilimo wameeleza kunufaika na ugunduzi wa mbegu zilizofanyiwa Utafiti na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika mazao ya karanga,…
HABARI MCHANGANYIKO TMA yakamilisha uboreshaji wa rada mbili za Hali ya Hewa October 24, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekabidhiwa rasmi ya rada zake mbili za hali ya hewa zilizopo Mwanza na Dar es salaam zilizokuwa zinafanyiwa uboreshaji na kampuni ya Enterprises…