BIASHARA Piga mkwanja na Rich Panda November 4, 2024 Erasto Masalu Leo unaweza ukawa moja ya washindi wa kitita cha kutosha kama utaamua kucheza mchezo wa kasino wa Rich Panda ambao umegeuka kua mchezo pendwa kwa wachezaji wote wa michezo ya…
HABARI MCHANGANYIKO Kiboko mharibifu mazao ya wakulima Magu auawa, wananchi wagawiwa nyama November 4, 2024 Erasto Masalu KIBOKO aliyehatarisha maisha ya watu katika Kijiji cha Ilungu Kata ya Nyigogo wilayani Magu mkoani Mwanza, ameuawa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) baada ya kuvamia mashamba ya…
HABARI ZA MICHEZO Teleza na ODDS za kibabe na Meridianbet leo November 3, 2024 Erasto Masalu Baada ya jana kushuhudia mechi kibao zikipigwa, halikadhalika na leo ni kama kawaida kuna mitanange ya kukata na shoka. Tengeneza jamvi lako sasa na Meridianbet. EPL leo kuna balaa mbili…
BIASHARA SBL yataka mazingira yenye usawa wa kodi kwenye bia November 3, 2024 Erasto Masalu Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) waishauri serikali kuzingatia kuimairsha mazingira wezeshi ya sera na kodi ili kukuza mapato ya serikali na ukomavu wa biashara nchini. SBL waliyasema…
ELIMU Serikali yapongeza mafanikio ya kitaaluma shule ya Hazina November 2, 2024 Erasto Masalu SERIKALI imeipongeza Shule ya Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam kutokana na mafanikio ya kitaaluma na mchango wake kwa serikali katika sekya ya elimu. Pongezi hizo zilitolewa mwishoni mwa…
HABARI ZA MICHEZO Jumamosi ya pesa na Meridianbet ni hii November 2, 2024 Erasto Masalu Je unajua kuwa siku ya leo ndio siku ya wewe kuondoka kifua mbele kwa kubashiri na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet kwani nafasi ya kuwa mshindi ni wazi sana…
HABARI ZA MICHEZO Meridianbet inakupa ushindi wa uhakika leo November 1, 2024 Erasto Masalu Tayari wikendi ndiyo hiyo inaanza ambapo leo hii unaweza ukatafuta mtaji wako wa maana kabla ligi hazijaanza kuchanganya. Beti na Meridianbet kwa mechi zinazoendelea hii leo. Ligi kuu ya Ujerumani…
BIASHARA 40 Lucky Sevens mkwanja nje nje November 1, 2024 Erasto Masalu Mchezo wa kasino ambao unaweza kukuhakikishia maisha Ijumaa ya leo ni 40 Lucky Sevens ambayo itakupa fursa ya kuondoka na mkwanja wa kutosha na kuanza wikiendiyako vizuri kabisa. 40 Lucky…
ELIMU St Anne Marie Academy yafanya maajabu tena darasa la 7 November 1, 2024 Erasto Masalu SHULE ya St. Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam, imeendelea kufanya maajabu kwenye mitihani ya darasa la saba ambapo mwaka huu wanafunzi wake 140…
HABARI MCHANGANYIKO Dk. Mpango awataka Watanzania kumuenzi Hayati Jenerali Msuguri November 1, 2024 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema katika kumuenzi Jenerali Mstaafu David Musuguri inapaswa Watanzania wote yaani askari na raia kujitoa, hata ikibidi kufa…