Tayari wikendi ndiyo hiyo inaanza ambapo leo hii unaweza ukatafuta mtaji wako wa maana kabla ligi hazijaanza kuchanganya. Beti na Meridianbet kwa mechi zinazoendelea hii leo.
Ligi kuu ya Ujerumani BUNDESLIGA kutakuwa na mtanange wa moto kwani bingwa mtetezi Bayer Leverkusen atakipiga dhidi ya VFB Stuttgart ambao wapo nafasi ya 8 wakiwa wamepitwa pointi 3 pekee. Mechi ya mwisho kukutana kwenye ligi walitoa sare. Leo hii Meridianbet wanawapa nafasi kubwa ya kushinda vijana wa Alonso wakiwa na ODDS 1.54 kwa 5.09. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili sasa.
Unaweza ukasuka jamvi kwenye mechi za LALIGA ambapo Deportivo Alaves atamualika kwake Mallorca ambao wametofautiana pointi 8 hadi sasa kwenye ligi. Mwenyeji ameshinda mechi zake 3 na mgeni ameshinda 5 kati ya 11 alizocheza. 2.30 kwa 3.43 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.
Meridianbet inakupa urahisi wa kutusua mkwanja leo. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Vilevile leo hii tutashuhudia ligi ya Ufaransa LIGUE 1 ikiendelea mapema kabisa saa 3 usikuAS Monaco baada ya kupoteza mechi yake iliyopita atakuwa mwenyeji wa Angers ambaye alitoa dozi nzito mechi yake iliyopita. Msimu uliopita walipokutana mechi zote mbili Angers alipigika. Je leo hii anaweza kulipa kisasi ugenini? 1.19 kwa 12.74. Tengeneza jamvi hapa.
Mechi nyingine kali kabisa ni hii ya Lille vs Lyon ambayo inatarajiwa kuteka hisia za mashabiki pale Ufaransa kwani mwenyeji atataka kulipa kisais chake leo huku mgeni yeye akitaka kuendeleza ubabe wake. Ni pointi 3 pekee ambazo zinawatofautisha huku Meridianbet wao wakimpa mwenyeji nafasi ya kuondoka na pointi zote 3 kwa ODDS 2.13 kwa 3.09. Jisajili hapa.
Ligi daraja la kwanza Uingereza yaani CHAMPIONSHIP pia inakupa pesa leo kwa mchezo wa Luton Town vs West Bromwich majira ya saa 5 usiku ambao hii ni vita kali kwelikweli ya kuwania pointi 3. Mwenyeji kushinda mechi hii kapewa ODDS 2.69 kwa 2.55. Wewe unamdhamini nani akupatie pesa?. Bashiri hapa.
Lakini pia ongeza urefu wa jamvi lako kwenye mechi ya BUNDESLIGA 2 ambapo SSV Ulm 1846 atamenyana dhidi ya Schalke 04 ambao timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi huku zote pia zikiwa na pointi sawa yaani 8. Mara ya mwisho kukutana mgeni alishinda. Sasa wanakutana tena kwenye ligi huku mwenyeji akitaka kulipa kisasi?. Mechi hii ina ODDS 2.65 kwa 2.55.
Saudi Arabia leo hii kuna mbungi kali mno ni kati ya Al Nassr vs Al Hilal ambao ndio mabingwa wa ligi hiyo. Cristiano Ronaldo na wenzake wataingia dimbani wakikumbuka kichapo cha mwisho walichokutana nacho walipokutana. Hilal wameshinda mechi zote kwenye ligi huku Al Nassr wakitoa sare 3. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.89 kwa 2.11. Jisajili sasa.
ZINAZOFANANA
Ijumaa ya ushindi imewadia
Tandika jamvi lako na Meridianbet leo
UEFA Champion League kukupa mkwanja leo