Leo tarehe 26 Aprili saa 18:30 jioni, uwanja wa Signal Iduna Park huko Dortmund utakuwa shuhuda wa pambano la Bundesliga kati ya Borussia Dortmund na Freiburg.

Dortmund wana pointi 64 wakiwa nafasi ya pili , wakati Freiburg wamo nafasi ya 7 kwa pointi 43 . Mchezo huu una umuhimu mkubwa kwa Dortmund ambao wanaweza kujihakikisha tiketi ya Ligi ya Mabingwa kwa ushindi leo.

Dortmund wakiwa nyumbani ni timu ya kutisha. Katika mechi 15 za nyumbani msimu huu, wameshinda 11 na kufungwa mara 2 tu, wakiwa na rekodi ya kufunga mabao 33 na kuruhusu 14 tu . Zaidi ya hayo, Dortmund wameshinda mechi 5 mfululizo na kutoa sare moja dhidi ya Freiburg.

Kwa upande mwingine, Freiburg wana safari ngumu sana ugenini. Kati ya mechi 15 za ugenini, wameshinda 4 tu na kufungwa mara 8 . Udhaifu wao mkubwa ni makosa ya mtu binafsi na ulinzi dhaifu dhidi ya mpira iliyokufa .

Dortmund wanapenda kumiliki mpira na kushambulia katikati kwa pasi fupi . pia humtumia top-scorer wao Serhou Guirassy (mabao 14 msimu huu) ambaye anauweza wakuamua mechi wakati wowote ule wa mchezo.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa ufupi, Dortmund ana nafasi kubwa ya kushinda nyumbani kutokana na rekodi yao ya kihistoria dhidi ya Freiburg na ubora wa wachezaji. Hata hivyo Freiburg anaweza kuleta changamoto kama wataweza kufunga bao la mapema, lakini ugenini wao ni dhaifu mno.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!