Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba

 

WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuongoza mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Waziri na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi. Anaripoti Mwandshi Wetu, Dodoma … (endelea).

Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, wakati alipozungumza na waandishi wahabari nyumbani kwa marehemu maeneo ya Gangilonga manispaa ya Iringa.

RC James amesema mwili wa marehemu utawasili mkoani Iringa Mach 29 majira ya saa 11alasiri kupitia Uwanja wa Ndege wa Nduli.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!