Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia hivi unaweza kupiga mkwanja Jumamosi ya leo kwani ODDS KUBWA na machaguo ya kutosha yanapatikana hapa.
Ligi pendwa Duniani EPL leo kuna mechi kali sana za kukupatia maokoto, Manchester United ya Ten Hag atakipiga dhidi ya Brentford ya Frank Thomas ambapo mechi ya mwisho kukutana, walitoa sare. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda United akiwa na ODDS 1.73 kwa 4.11. Jisajili hapa.
Naye Aston Villa baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita leo hii atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Fulham ambaye alipoteza mechi iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 huku msimu uliopita Villa alishinda mechi zote mbili za ligi walipokutana. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi kwa ODDS 2.31 kwa 2.94?. Suka jamvi hapa.
Jumamosi ya mshindo ndio hii ndani ya Meridianbet ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Newcastle United uso kwa uso dhidi ya Brighton katika dimba la St. James’ Park. Ikumbukwe kuwa timu hizi zote pointi sawa kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 12. Vijana wa Eddie Howe ndio wanapendelewa kushinda leo kwa ODDS 2.01 kwa 3.33. Wewe unampa nani leo?. Jisajili hapa.
Nao vijana wa Mikel Arteta Arsenal wakuwa wageni wa Bournemouth ambao wapo nafasi ya 13 kwenye msimamo na pointi zao 8 mpaka sasa. The Gunners hawajapoteza mechi yoyote hadi sasa na ushindi wao wa leo utawapeka mpaka nafasi ya kwanza. Je mwenyeji kumzuia Arteta kukaa kileleni?. Beti mechi hii yenye ODDS 4.80 kwa 1.68.
LALIGA pia kama kawaida mechi za kuvunjana zipo CA Osasuna atakipiga dhidi ya Real Betis ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 5 na mgeni wake nafasi ya 10. Mara ya mwisho kukutana Betis alishinda zote. 2.60 na 2.74 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.
Kipute kingine kitakuwa kati ya Girona vs Real Sociedad ambao wameshinda mechi 2 kati ya 9 walizocheza huku mwenyeji akishinda 3 tuu. Nafasi ya kushinda leo ndani ya Meridianbet anapewa Girona akiwa na ODDS 2.55 kwa 2.79. Beti hapa.
Real Madrid ambaye yupo nafasi ya 2 atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya Celta Vigo ambaye ni wa 9. Madrid kushinda leo kapewa ODDS 1.57 kwa 5.09. Mara ya mwisho kukutana, Real alishinda. Je mwenyeji kulipa kisasi le?. Jisajili hapa.
Kama kawaida BUNDESLIGA itaendelea pia bingwa mtetezi Bayer Leverkusen baada ya kutoa sare leo atamenyana dhidi ya Frankfurt ambaye pia alitoa sare mechi yake iliyopita. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Jisajili hapa.
Wakati huo huo RB Leipzig atasafiri kukiwasha dhidi ya FSV Mainz ambao hawapewi nafasi ya kushinda leo wakiwa na ODDS 3.77 kwa 1.88. Leipzig akishinda leo atapanda hadi kileleni. Lakini je mwenyeji atakubali kuacha pointi 3 ziondoke kwake?. Beti mechi hii yenye ODDS KUBWA Meridianbet.
Kimbembe kikali kitakuwa majira ya saa 1:30 usiku katika dimba la Allianz Arena kati ya Bayern Munich vs VFB Stuttgart ambapo vijana wa Kompany wataingia uwanjani wakikumbuka walichezea kichapo kikali mechi ya mwisho walipokutana. Je watalipa kisasi leo?. Mechi hii ina ODDS 1.32 kwa 7.84. Bashiri mechi zako hapa.
Kule Italia SERIE A kuna mechi kali sana Bologna baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini dhidi ya Genoa ambaye alipoteza vibaya sana mechi iliyopita. Mtanange wa mwisho waliponana mwenyeji alishinda. Wewe beti yako unampa nani huku ODDS za mechi hii zikiwa ni 3.62 kwa 2.16.
AC Milan ambao wapo nafasi ya 6 watapepetana dhidi ya Udinese ambao wapo nafasi ya 5. Msimu uliopita walipokutana waligawana pointi yaani kila mtu alishinda kwa mwenzake. 1.40 na 6.86 ndio ODDS za mchi hii. Jisajili sasa.
Vilevile Bibi Kizee wa Turin Juventus ataumana dhidi ya Lazio Rome ambao timu hizi zote zina pointi sawa kwenye msimamo wa ligi. Kinachowatofautisha ni magoli ya kufunga na kufungwa tuu. Mechi za msimu uliopita kila mtu alishinda kwake. 2.11 kwa 3.67 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.
Kule Ufaransa LIGUE 1 pia itawaka vilivyo Stade Brest 29 atakipiga dhidi ya Stade Rennes huku tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 na mgeni wake nafasi ya 12. Meridianbet wameipa ODDS 2.79 kwa 2.50. Beti sasa.
Naye RC Lens baaada ya kutoa sare leo hii atakuwa mwenyeji wa AS Saint-Etienne ambaye alishinda mechi yake iliyopita. Mwenyeji anahitaji ushindi kujiweka kwenye nafasi nzuri huku mgeni pia anazitaka hizo pointi 3 leo hii. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.
PSG naye baada ya kuangusha pointi mechi iliyopita, leo hii atamualika kwake Strasbourg Alsace ambaye hapewi nafasi ya kushinda leo akiwa na ODDS 10.78 kwa 1.22. Je nani kushinda leo?. Beti hapa.
ZINAZOFANANA
Piga mkwanja Jumapili ya leo kupitia Ligi mbalimbali barani Ulaya
Teleza na ODDS za Meridianbet Jumamosi hii
Bashiri na Meridianbet mechi za leo