BIASHARA Mamilioni ya Expanse kasino yanaendelea kutoka July 29, 2024 Erasto Masalu Sehemu pekee unayoweza kupata bonasi ya ukaribisho hadi300% ni Meridianbet pekee, jisajili upate bonasi hiyokucheza michezo ya Expanse na kubashiri michezo mingi. Pia kuna shindano la Expanse ambalo unaweza kujishindiaMgao…
BIASHARA Vodacom, NBC Dodoma Marathon 2024 kuangazia Afya ya Uzazi, yazawadia washindi July 29, 2024 Erasto Masalu Kama mdhamini mkuu wa mbio za Kilomita 21 katika NBC Dodoma Marathon 2024, kampuni ya mawasiliano na teknolojia Vodacom Tanzania ikiwakilihwa na Mkurugenzi Mtendaji, Philip Besiimire ilishiriki katika hafla ya…
BIASHARA Cheza Expanse kasino ushinde mamilioni July 29, 2024 Erasto Masalu Expanse Tournament bado inaendelea, huenda leo ukaibuka mshindi wa Zaidi ya 2,500,000/= cheza kasino ya mtandaoni huku ukivuna mabonasi ya kasino kibao. Jisajili hapa kisha anza safari ya ushindi. Mwisho…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mfanyabiashara akata rufaa mfanyakazi wa CRDB kuachiwa huru July 29, 2024 Erasto Masalu MFANYABIASHARA Deogratus Minja amewasilisha kusudio la kukata rufaa kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ya kumuachia huru mfanyakazi wa Benki ya CRDB, Ibrahim Masahi…
BIASHARA Mil. 300 zakusanywa mbio za NBC Dodoma Marathon July 29, 2024 Erasto Masalu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Jumapili ameongoza washiriki zaidi ya 12,000 wa mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma huku akiwapongeza waandaaji wa mbio hizo…
BIASHARA Mchezo gani wa kasino rahisi kushinda? July 28, 2024 Erasto Masalu Kutana na mchezo wa kasino wenye sifa ya kutoa washindikila sekunde, yaani ni rahisi kushinda kuliko kumeza mate, mchongo huu unapatikana pale Meridianbet wakali wakasino ya Mtandaoni, unaambiwa ukijisajili ukaongeza…
BIASHARA Cheza Expanse kasino ushinde mamilioni July 28, 2024 Erasto Masalu Expanse Tournament bado inaendelea, huenda leo ukaibuka mshindi wa Zaidi ya 2,500,000/= cheza kasino ya mtandaoni huku ukivuna mabonasi ya kasino kibao. Jisajili hapa kisha anza safari ya ushindi. Mwisho…
BIASHARA Cheza sloti ya Wolf Land Hold & Wind, ushinde mamilioni July 26, 2024 Erasto Masalu Kukutana na wanyama wa porini, na furaha kubwa kati yao itatoka kwa mbwa mwitu. Karibu mahali pa burudani bora Zaidi na Maokoto mengi Meridianbet Kasino ya Mtandaoni Jisajili Ushinde. Wolf…
BIASHARA Exim Bank yachangia vitanda kwa kituo cha Afya Tanga July 26, 2024 Erasto Masalu BENKI ya Exim Tanzania imetoa jumla ya vitanda na magodoro 21 vya wagonjwa kwa kituo cha afya cha Mwakidila kilichopo jijini Tanga, mchango ambao umetatua kikamilifu tatizo la upungufu wa…
BIASHARA Cheza Kasino hii umaskini utausikia tu July 25, 2024 Erasto Masalu Winning Clover 5 Extreme ni sloti ya kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu, mistari mitano ya ushindi. Ili kupata ushindi wowote, ni lazima upate alama tatu…