HABARI ZA AFYA Wizara ya Afya kuchunguza sakata la mama kubadilishiwa mtoto April 2, 2025 Erasto Masalu WIZARA ya Afya kupitia kitengo cha mawasiliano serikalini imemsimamisha kazi muuguzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, aliyemhudumia Neema Kilugara aliyedai kubadilishiwa mtoto aliyejifungua hospitalini hapo. Anaripoti. Apaikunda…
HABARI ZA AFYA Watanzania wawili wamegundulika kuwa na virusi vya Mpox March 11, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama, amethibitisha kuwa wahisiwa wawili wana maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox baada ya sampuli zao kuchukuliwa na kupelekwa maabara ya Taifa kwa chunguzi, mnamo…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Asilimia 22 ya vijana wanakumbwa na magonjwa yasiyo ya kuambukizwa March 10, 2025 Erasto Masalu ASILIMIA 22 ya vijana wanakabiliwa na magonjwa yasiyokuwa ya kuambukizwa hivyo ni muhimu kukata bima ya afya kwa ajili ya usalama wao pindi watakapokumbwa na magonjwa hayo. Anaripoti Danson Kaijage…
HABARI ZA AFYA Wanachama wa NHIF waruhusiwa kutumia NIDA kupata huduma March 10, 2025 Erasto Masalu MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk. Irene Isaka amesema kwa sasa mwanachama wa mfuko wa NHIF halazimiki kuwa na kadi ya bima, kwani kwa…
HABARI ZA AFYA Tanzania yapiga hatua katika kupunguza vifo vya wajawazito March 7, 2025 Erasto Masalu KWA mujibu wa taarifa ya Africa CDC, Tanzania imepunguza kwa asilimia kubwa vifo vya wajawazito ambapo, kutoka 556 kwa kila vizazi hai 100,000 mwaka 2015 hadi 104 mwaka 2022. Takwimu…
HABARI ZA AFYA KIMATAIFA Korea Kusini kuchangia USD Mil 104 maboresho ya Muhimbili March 6, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya, serikali ya Tanzania pamoja na Korea kusini kuchangia ujenzi wa mradi huo ili kuwezesha upatikanaji wa huduma zote ndani ya…
HABARI ZA AFYA Muhimbili kuvuna mifupa kwa ajili ya kutengenezea taya ya chini kwa Mil 6.2 March 6, 2025 Erasto Masalu HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili imeanzisha huduma ya kuvuna mifupa ya mbavu na nyonga kwa ajili ya kutengeneza taya ya chini ambapo gharama yake ni kiasi cha Sh. 6.2 milioni.…
HABARI ZA AFYA MOI yaokoa Bil 150 kwa miaka minne, kuanzisha benki ya mifupa March 5, 2025 Erasto Masalu TAASISI ya Tiba ya Mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu (MOI) kwa miaka minne ya uongozi wa Ras Samia Suluhu Hasani imefanikiwa kuokoa kiasi cha Sh. 150 bilioni kwa…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Hospitali ya Benjamin Mkapa yapandikiza mimba 21, watano kuongezewa nguvu za kiume March 4, 2025 Erasto Masalu KWA kipindi cha miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Hospitali ya Benjamini Mkapa imefanikiwa kupandikiza mimba kwa wanawake 21 huku wanaume 5 wakiwa wamewezeshwa kuwekewe vipandikizi maalumu…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Makusanyo ya mapato katika hospitali Magu yazidi kupaa March 4, 2025 Erasto Masalu KAMATI ya ulinzi na usalama ya Halmashauri ya Wilaya ya Magu imeeleza kuridhishwa na Mfumo wa kukusanya mapato ya Hospitali ya Wilaya ya Magu (GOT- HOMIS) baada ya kufanikisha kuongeza…