HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Marekebisho ya sheria ya sanaa yaifikisha TARO bungeni June 9, 2025 Erasto Masalu TAASISI ya Haki za Wasanii Tanzania (TARO), imeendesha kikao na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kujadili marekebisho ya Sheria ya Sanaa ya Taifa Na. 23…
BIASHARA HABARI ZA AFYA Meridianbet yaigusa hospitali ya Palestina Sinza May 31, 2025 Erasto Masalu Ikiwa leo hii ni Jumamosi siku ya mwisho ya mwezi Mei, wakali wa ubashiri Meridianbet iliamua kufunga safari hadi hospitali ya Palestina Sinza kwaajili ya kutoa msaada kwa kina mama…
HABARI ZA AFYA Madaktari Bingwa wa Samia toeni huduma nzuri kwa wananchi May 19, 2025 Erasto Masalu ZUWENA Omary, Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi ametoa wito kwa madaktari bingwa wa Rais Samia kutoa huduma bora na tarajiwa kwa ufanisi mkubwa na kutoa muongozo sahihi kwa wagonjwa…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Hospitali ya Mt. Joseph Peremiho yatoa nafuu mikoa ya Kusini May 12, 2025 Erasto Masalu WANANCHI wa mkoa wa Ruvuma na Mikoa ya jirani ya Njombe, Lindi na Mtwara, wametakiwa kutumia Hospitali ya Peramiho ili kupata huduma mbalimbali za afya kwakuwa hospitali hiyo ina watalaamu…
HABARI ZA AFYA Serikali kukarabati vituo konhwe vya huduma ya afya May 7, 2025 Erasto Masalu SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema itaendelea kukarabati hospitali zote Kongwe kupitia mpango mkakati wa ukarabati, na upanuzi wa hospitali kongwe za halmashauri ,vituo vya afya Pamoja na…
HABARI ZA AFYA RHMT na CHMT sikilizeni kesro, maoni kutoka kwa wananchi – Dk. Mfaume May 7, 2025 Erasto Masalu MKURUGENZI wa Idara ya Afya Lishe na Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais TAMISEMI Dk. Rashid Mfaume amezielekeza timu za usimamizi wa Afya ngazi ya Mkoa (RHMT) na ngazi ya…
HABARI ZA AFYA Mil 800 kugharamia matibabu ya macho Siha May 7, 2025 Erasto Masalu TAASISI ya Dk. Godwin Mollel kwa kushirikiana na Mo Dewji Foundation zimetoa huduma ya bure ya matibabu ya macho kwa wananchi zaidi ya 3,000 katika Hospitali ya Wilaya ya Siha,…
HABARI ZA AFYA Dar yatakiwa kujenga vituo vya Afya jwa ghorofa May 6, 2025 Erasto Masalu DK. Rashid Mfaume, Mkurugenzi wa Idara ya Afya Lishe na Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema kutokana na uhaba wa maeneo katika Jiji la Dar es Salaam ni…
HABARI ZA AFYA SIASA Waziri Mkuu Majaliwa aonyesha maendeleo katika huduma ya Afya April 9, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa sekta binafsi zimewezesha kuongezeka kwa vituo vya kutolea huduma za…
HABARI ZA AFYA Serikali yawakumbuka wagonjwa figo April 8, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema, amesema serikali imeongeza vituo vya Dialysis katika hospitali 15 za rufaa za mikoa na hospitali zote za kanda hapa nchini ili kusogeza karibu…