BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Meridianbet yaendeleza harakati za usafi hospitali ya Mwenge September 19, 2025 Erasto Masalu Ikiwa leo hii ni Ijumaa nzuri kabisa ya mwezi Septemba mteja wa Meridianbet unaweza kutengeneza pesa kwa kubashiri mechi za ligi mbalimbali, wakati huo huo kampuni hiyo kubwa ya ubashiri…
BIASHARA HABARI ZA AFYA Hospitali ya Kifuma yanufaika na ujio wa Meridianbet September 13, 2025 Erasto Masalu IKIWA leo hii ni Jumamosi nzuri kabisa ya mteja wa Meridianbet kutengeneza pesa kwa kubashiri mechi za ligi mbalimbali, wakali hao wa ubashiri waliamua kutemebelea hospitali ya Kifuma ambayo inapatikana…
HABARI ZA AFYA Columbia Africa yaingia Tanzania kwa kuinunua IST Clinic September 8, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Columbia Africa Healthcare Limited imetangaza ununuzi wa IST Clinic, kituo maarufu cha huduma za afya kilichopo Dar es Salaam. Kupitia ununuzi huu wa hisa kwa asilimia 100, Columbia…
HABARI ZA AFYA SIASA TANGULIZI Matibabu bure ya Moyo, Figo na Sukari kwa wasiojiweza sio kila mtu – Samia September 3, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA wa kiti cha Urais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa, mzigo wa gharama za matibabu ambao serikali utabeba kwa baadhi ya magonjwa…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Dk Dotto Biteko kuzindua telnolojia ya kuondoa uvimbe bila upasuaji August 20, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri Mkuu, Dotto Biteko anatarajiwa kuzindua teknolojia mpya ya kuondoa uvimbe mwilini bila upasuaji inayofahamika kama High-Intensity Focused Ultrasound (HIFU). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Uzinduzi…
HABARI ZA AFYA Jenister Mhagama atimiza ndoto za Rais Samia utalii tiba July 11, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amesema ili kufikia ndoto kamili za Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba kuna haja ya kuwekeza kwenye ukarimu wa wageni kama ambavyo mashirika yanayofanya vizuri…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Meridianbet yaigusa hospitali ya Palestina Sinza June 25, 2025 Erasto Masalu Ikiwa kama mwendelezo wa kurejesah kwenye jamii Jumatano ya leo mapema kabisa wakali wa ubashiri Meridianbet waliamua kuitembelea hospitali ya Palestina Sinza na kugawa vyandarua kwa kina mama ambao wamejtoka…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Bosi Kituo cha Afya Salaaman ashinda kesi mbili za jinai dhidi yake June 24, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachiliwa huru Dk. Abdi Hirsi, Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya Salaaman Health Services Ltd inayomiliki Kituo cha Afya cha Salaaman (Salaaman Health Centre), baada…
BIASHARA HABARI ZA AFYA Exim yafanya kampeni ya uchangiaji damu nchi nzima June 11, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Exim kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), imeanzisha kampeni ya nchi nzima ya kuchangia damu ikiwa na lengo la kuimarisha afya ya umma. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Marekebisho ya sheria ya sanaa yaifikisha TARO bungeni June 9, 2025 Erasto Masalu TAASISI ya Haki za Wasanii Tanzania (TARO), imeendesha kikao na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kujadili marekebisho ya Sheria ya Sanaa ya Taifa Na. 23…