ELIMU HABARI MCHANGANYIKO CBE yajivunia mchango wa wahitimu wake May 20, 2025 Erasto Masalu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinatarajia kujenga maabara za kisasa zitakazoidhinishwa na mashirika ya kimataifa ya viwango ambazo zitakuwa kitovu cha mafunzo, utafiti, na ushauri wa vipimo katika Afrika…
BIASHARA ELIMU SBL na Chuo cha Utalii waadhimisha mahafali ya mafunzo ya ukarimu kwa vijana May 15, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL), kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT), wamefanya mahafali ya kwanza ya programu ya mafunzo ya ukarimu kwa vijana chini ya mpango…
ELIMU Wanafunzi St Anne Marie Academy watoa msaada kituo cha yatima Dar May 14, 2025 Erasto Masalu WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy wametoa msaada wa vitu mbalimbali kwenye kituo cha kulea yatima cha CHAKUWAMA jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
ELIMU Wanafunzi TUSIIME kufundishwa program za kompyuta May 12, 2025 Erasto Masalu KATIKA jitihada za kuendana na mtaala mpya wa elimu uliozinduliwa hivi karibuni na Serikali, unaojumuisha Mahili 11 yanayolenga kuendeleza ujuzi na stadi kwa wanafunzi, shule za Tusiime zimechagua program za…
BIASHARA ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Puma Energy Tanzania yakabidhi zawadi shindano la uchoraji kampeni ya Usalama Barabarani Mashuleni May 7, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika la Amend Tanzania wamekabidhi zawadi kwa washindi wa shindano la usalama barabarani ambalo ni sehemu muhimu ya programu ya ‘Be Road…
ELIMU Saudi Arabia yatoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa Kitanzania May 6, 2025 Erasto Masalu UFALME wa Saudi Arabia umeimarisha uhusiano wake wa kielimu na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fursa nyingi za ufadhili wa masomo kamili kwa wanafunzi wanaotaka kuendelea na masomo…
BIASHARA ELIMU Exim yakabidhi madarasa kwa shule mbili za Sekondari Kigoma April 23, 2025 Erasto Masalu KATIKA juhudi za kuboresha miundombinu ya sekta ya elimu nchini Tanzania, Benki ya Exim Tanzania imekabidhi rasmi madarasa kwa shule mbili za sekondari wilayani Buhigwe katika mkoa wa Kigoma. Shule…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Shamba la Pinda labadili mtazamo wa wanafunzi Aniny Nndumi April 22, 2025 Erasto Masalu UKIMUULIZA mwanafunzi wa shule yoyote ya msingi kwamba ndoto yake anataka kuwa nani, atakutajia vyeo na kazi anazoamini kuwa nzuri, lakini hata kuambia anataka kuwa mkulima. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Walimu 1,585 wapatiwa mafunzo ya Tehama na UCSAF March 27, 2025 Erasto Masalu KWA kipindi cha miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassani, walimu wapatao 1585 wamepatiwa mafunzo juu umuhimu wa matumizi ya TEHAMA. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Wanafunzi wahimizwa kulinda miundombinu ya shule March 22, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepongeza Serikali kujenga miundombinu bora katika shule za sayansi za wasichana, ahimiza wanafunzi kulinda miundombinu iliyowekwa ili iwe na tija. Anaripoti Apaikunda Mosha, Njombe … (endelea).…