ELIMU HABARI MCHANGANYIKO DAS Kinondoni aipongeza MONTI International kwa kuibua, kulea vipaji vya watoto June 30, 2025 Erasto Masalu KATIBU tawala wilaya ya Kinondoni – DAS, Warda Abdallah ameipongeza Shule ya Kimataifa ya Monti kwa kuibua na kulea vipaji vya watoto ili kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia katika dunia…
ELIMU Waliosoma CBE wampongeza Prof. Edda Lwoga kwa mageuzi makubwa June 21, 2025 Erasto Masalu UTAFITI uliofanywa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuhusu wahitimu wake umeonyesha kuwa asilimia 59 wameajiriwa katika taasisi mbalimbali za umma na binafsi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
ELIMU HESLB yafungua dorisha la maombi ya mikopo June 19, 2025 Erasto Masalu BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB), imetangaza kufungua dirisha la maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam ……
ELIMU CBE kuendesha kongamano la kuimarisha fursa za ajira June 17, 2025 Erasto Masalu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeandaa kongamano la kuimarisha fursa za ajira na maendeleo endelevu linalolenga kuwawezesha vijana kujiajiri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yalisemwa…
ELIMU Matokeo mazuri ya kitaaluma Green Acres yaifurahisha serikali June 16, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imepongeza mchango wa shule binafsi katika elimu na imezitaka shule hizo kwenda sanjari na mabadiliko ya teknolojia duniani ili kutoa wahitimu wenye uwezo wa kujiajiri na kuajiri wenzao. Anaripoti…
ELIMU GEL yawanoa wanafunzi wanaokwenda masomoni nje ya nchi June 16, 2025 Erasto Masalu ZAIDI ya wanafunzi 200 wanatarajiwa kusafiri kwenda masomoni kwenye mataifa mbalimbali kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 hivi karibuni kuanza pitia uratibu wa Global Education Link (GEL). Anaripoti Mwandishi Wetu,…
ELIMU Green Acres yaadhimisha miaka 25 ya mafanikio katika elimu June 12, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiw a kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa shule za Green Acres. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Aliyekataa uteuzi wa U-DC abwangwa uchaguzi wa CWT June 10, 2025 Erasto Masalu LEAH Ulaya, aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ameshindwa uchaguzi Mkuu wa chama hicho uliofanyika jana tarehe 9 Juni 2025. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam … (endelea).…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Wanafunzi 214,141 wachaguliwa kidato cha tano, vyuo vya kati June 6, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imetangaza jumla ya wanafunzi 214,14, wakiwemo wasichana 97,517 na wavulana 116,624, wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa mwaka wa masomo 2025, baada…
BIASHARA ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Waziri Mkenda azindua Mashindano ya NBC ya Uandishi wa Insha, Wazo Bora la Biashara kwa wanafunzi May 25, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda (Mb) leo amezindua Mashindano ya Uandishi wa Insha na Wazo Bora la Biashara kwa wanafunzi wa Sekondari nchini yaani “NBC Essay…