ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Wanafunzi 937,581 wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza, wasichana vinara December 4, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imetangaza jumla ya wanafunzi 937,581 wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika muhala wa masomo wa Januari mwaka 2026 huku idadi ya wasichana wakiwa vinara wakiongozwa kwa wingi wanafunzi waliopenya…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Watahiniwa 937,581 wafaulu elimu ya msingi November 5, 2025 Erasto Masalu BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika kuanzia tarehe 10 Septemba 2025. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea). Matokeo hayo…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Wanafunzi 1.5 mil wa darasa la nne kuanza mtihani kesho October 21, 2025 Erasto Masalu JUMLA ya wanafunzi wa darasa la nne waliosajiliwa mwaka huu 1,582,140, wanatarajia kufanya mtihani wa upimaji wa kitaifa tarehe 22 hadi 23 Oktoba 2025 ambapo kati ya hao wavulana 764,290…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO TCU yaongeza siku nne za udahili October 3, 2025 Erasto Masalu TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kuongeza muda wa udahili kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa kuweka awamu ya tatu na yamwisho anayotarajiwa kufunguliwa tarehe 6 Oktoba , na…
ELIMU Ripoti mpya ya Elimu yaangazia uhitaji wa kutumia utafiti kwa Sera Elekezi kukabiliana na umaskini September 11, 2025 Erasto Masalu RIPOTI mpya ya elimu imetoa wito kuchukua hatua za haraka kulingana na ushahidi wa kitafiti ili kushughulikia mapungufu yaliyopo, hayo yameangaziwa katika Mkutano wa Sita wa Education Evidence for Action…
ELIMU GEL yatoa ushauri wa kitaaluma na malezi maonesho ya elimu Dar August 18, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Global Education Link (GEL) imewataka wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo vikuu kuwa makini na kozi wanazochagua wanapotaka kujiunga na vyyuo vikuu mbalimbali ndani na nje ya nchi. Anaripoti…
ELIMU Mwanafunzi atakayefiwa na mzazi mlipa ada St Anne Marie Academy kutofukuzwa shule July 26, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imeahidi kuendelea kushirikiana na sekta binafsi katika elimu huku ikiipongeza shule ya St. Anne Marie Academy ya jijini Dar es Salaam kwa kufanya vizuri kwenye matokeo ya mitihani ya…
ELIMU Global Education Link yaandika historia mpya elimu ya juu kwa watanzania July 22, 2025 Erasto Masalu Maelfu ya wanafunzi wanaotaka kusoma kozi mbalimbali nje ya nchi wamejitokeza kwenye maonyesho ya vyuo vikuu nje ya nchi ambapo wengi wamepata udahili wa papo kwa papo. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
ELIMU Walimu wapya 120 Magu wapewa mafunzo elekezi July 11, 2025 Erasto Masalu TUME ya Utumishi wa Walimu (TSC) Magu imetoa mafunzo elekezi kwa walimu 120 ajira mpya waliohudhuria mafunzo hayo ambapo walimu 57 ni wa shule za sekondari na 63 shule za…
ELIMU TANGULIZI Matokeo ya kitado cha sita ufaulu kuongezeka July 7, 2025 Erasto Masalu SAID Mohammed, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania ( NECTA) ametangaza matokeo ya kidato cha sita leo tarehe 7 Julai 2025 visiwani Zanzibar ambapo kati ya watahiniwa shule…