HABARI ZA MICHEZO Ni Meridianbet tena ndani ya Kijitonyama August 13, 2024 Erasto Masalu Meridianbet tena ndani ya Kijitonyama ndivyo unavyoweza kusema kwakua leo tena wamefanikiwa kufika kwenye eneo hilo na kutoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu mbili ambazo zinapatikana maeneo hayo.…
HABARI ZA MICHEZO Pesa ipo nje nje ndani ya Meridianbet leo August 13, 2024 Erasto Masalu NDUGU mteja karibu utusue na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet ambapo leo hii kuna mechi kibao za kufuzu ligi ya mabingwa ambazo unaweza kubashiri na kujishindia pesa weka dau…
HABARI MCHANGANYIKO TPA yatoa mil. 260 ukarabati, ununuzi vifaa tiba hospitali ya Temeke August 13, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetoa zaidi ya Sh 260 milioni kwa ajili ya maboresho na ukarabati wa jengo la usafishaji damu kwa wagonjwa wa figo katika Hospitali…
HABARI MCHANGANYIKO TCCIA yataka wadau washiriki mkutano wa Halal kesho August 13, 2024 Erasto Masalu CHEMBA ya Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), kimetoa wito kwa wafanyabiashara kote nchini kushiriki mkutano utakaotoa elimu ya bure kuhusu namna ya kupata cheti cha Halal kwenye bidhaa zao. Anaripoti…
HABARI ZA MICHEZO H Money atupa jiwe ‘Tic Tik’ akiwa na Reekado Banks August 13, 2024 Erasto Masalu PRODYUZA wa muziki wa kimataifa Harmony Samuels a.k.a H Money, ameachia wimbo wake mpya uitwao “Tic Tik” akiwa amemshirikisha gwiji kutoka Nigeria, Reekado Banks. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika…
SIASA TANGULIZI Polisi watii agizo la CCM, Mbowe, wenzake 520 waachiwa kwa dhamana August 13, 2024 Erasto Masalu Jeshi la Polisi limekiri kuwakamata na kuwahoji viongozi wakuu wa Chadema pamoja na wafuasi 520 huku baadhi yao akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wakiachiwa kwa dhamana. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi: Hatujapiga marufuku mikutano ya hadhara August 12, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi limesema halijapiga marufuku kufanyika mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi. Anaripoti Matilda Peter, Dar es Salaam…
BIASHARA Cheza sloti ya Book of Eskimo SHINDA mamilioni August 12, 2024 Erasto Masalu Maisha yako yapo mkononi mwako, ushindi wa kasino upo kiganjani mwako, cheza sloti ya Book of Eskimo inakupa urahisi wa kuishi kitajiri kwa dau dogo kabisa. Jisajili Meridiabet kuanzisha safari…
BIASHARA Mashabiki wa soka Tanzania kusherehekea EPLna Guinness August 12, 2024 Erasto Masalu BIA rasmi ya Ligi kuu ya Uingereza msimu wa 2024/25, Bia ya GUINNESS kwa kutambua kuwa mpira wa miguu unahusu zaidi mashabiki, wametangaza kushirikiana na Club 1245 ya Masaki Jijini…
BIASHARA NMB kuwanoa wajasiriamali 700, kukabidhi Skuli Kizimkazi Festival 2024 August 12, 2024 Erasto Masalu KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival 2024), imetambulisha rasmi wadhamini wa mwaka huu, ikiwemo Benki ya NMB ambayo pamoja na mambo mengine itawanoa wajasiriamali zaidi ya 700…