HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Rais Samia atoa maagizo kufuatia ajali ya ghorofa la K’koo November 16, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa Jiji la wa Dar es Salaam, Jeshi la Polisi, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na Idara…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Waziri Kijaji afanya mazungumzo na wadau wa COP29 November 16, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk. Ashatu Kijaji amehimiza mataifa yaliyoendelea kuunga mkono juhudi za nchi zinazoendelea ili ziweze kutekeleza kikamilifu agenda ya matumizi…
HABARI ZA MICHEZO Kuwa milionea na mechi za kimataifa leo November 16, 2024 Erasto Masalu KAMA kawaida Jumamosi ya leo ni siku ya kuchukua maokoto yako mapema na kwenda kujidai kwani mechi kibao za Kimataifa kuanzia hapa Afrika mpaka kule Ulaya zinaendelea. Suka jamvi lako…
SIASA Mchengerwa: Uchaguzi si huruma November 16, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mohamed Mchengerwa amesema uchaguzi wa serikali za mitaa si huruma bali ni sheria na kanuni na atakayekwenda kinyume hatasalimika. Anaripoti Salehe Mohamed, Dar es…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Rais Samia aumizwa mauaji ya Kibiki, simanzi yatanda mazishi yake November 15, 2024 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ‘ameumizwa na kusikitishwa sana’ na tukio la kuuwawa kwa Ndugu Christina Alex…
HABARI ZA MICHEZO Mechi za kimataifa kukupatia maokoto leo November 15, 2024 Erasto Masalu Leo hii wikendi ndio inaanza hivyo ambapo mechi kibao za mataifa zitapigwa hapo baadae kusaka tiketi ya Afcon kwa upande wa Afrika na kule Ulaya ni mechi za kutafuta nafasi…
BIASHARA 5 Hot Strike mchezo wa kasino rahisi kucheza na kushinda November 15, 2024 Erasto Masalu Mchezo wa 5 Hot Strike ambao unapatikana pale kwenye tovuti ya mabingwa wa michezo ya kubashiri na Kasino Meridianbet unatajwa kama mchezo rahisi zaidi kucheza na kushida, Kwani mchezo huu…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO Nani kuibuka mshindi? Mike Tyson na Jake Paul November 14, 2024 Erasto Masalu Leo litapigwa pambano la kibabe la masumbwi ambapo bingwa wa zamani wa dunia uzito wa juu Mike Tyson atapigana bondia Jake Paul kwenye pambano ambalo linasubiriwa kwa hamu sana. Bondia…
SIASA TANGULIZI Chadema, Lissu wavutana, wajibu hoja zake November 14, 2024 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, imetoa ufafanuzi kuhusu hoja mbalimbali zilizotolewa hivi karibuni na Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama hiko Tundu Lissu katika mikutano yake mbalimbali na wanahabari. Anaripoti…
BIASHARA Ushindi rahisi na kasino ya Roulette| cheza uwe tajiri November 14, 2024 Erasto Masalu Dk. Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jamaa alifariki akiwa na miaka…