HABARI ZA MICHEZO Jumapili ya kibabe, ODDS za kishua November 17, 2024 Erasto Masalu Wikendi ndio hiyo inaenda kuisha lakini haiwezi kuishi kinyonge bila wewe kutimiza ndoto zako leo. Mechi za mataifa mbalimbali zinapigwa leo na sehemu pekee ya wewe kuondoka na mpunga ni…
SIASA Zitto Kabwe awaonya watakaoshinda November 17, 2024 Erasto Masalu KIONGOZI wa Chama (KC) wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amewaonya wagombea wa chama hicho watakaochaguliwa kuwa viongozi wa vitongoji, vijiji na mitaa watakaochaguliwa wasiwadhulumu wananchi kwa kudai fedha. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Waliokufa ajali K’koo wafikia 13, Rais aagiza uchunguzi ufanyike November 17, 2024 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa, Serikali itabeba gharama za matibabu kwa majeruhi wote walionusulika kwenye ajali ya kuporomoka kwa ghorofa K/koo jiijini Dar…
SIASA ACT yazindua Ilani ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji November 17, 2024 Erasto Masalu KIONGOZI wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu amezindua Ilani ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ilani hiyo imezinduliwa leo Novemba…
KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Samia kutikisa Brazil mkutano wa wakuu wa kundi la G20 November 17, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Brazil jana kuhudhuria mkutano wa Nchi Tajiri Duniani wa G20 imealikwa kwa mara ya kwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Rio de Janeiro, Brazil … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI RC Chalamila tunaendelea kuokoa majeruhi K’koo kwa ustadi mkubwa November 17, 2024 Erasto Masalu MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akiongea na waandishi wa habari mapema leo ametoa taarifa ya maendeleo ya uokoaji ambapo amesema toka usiku hadi asubuhi ya saa…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Kuanguka kwa ghorofa Kariakoo: Tulimpuuza Lowassa November 17, 2024 Erasto Masalu TAKRIBANI majengo 100 ya ghorofa jijini Dar es Salaam, zilimejengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliyoundwa na aliyekuwa Waziri Mkuu na kujiuzulu, Edward Lowassa,…
BIASHARA 20 Imperial Crown ushindi kiganjani kwako November 16, 2024 Erasto Masalu Mchezo wa 20 Imperial Crown umekua moja ya michezo ambayo inabadilisha maisha ya wengi kutokana na maokoto ambayo wamekua wakishinda, Leo inaweza kua zamu yako ya kushinda maokoto ya kutosha…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Orodha ya majeruhi wa jengo la Kariakoo November 16, 2024 Erasto Masalu HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili imetoa orodha ya majeruhi waliopokelewa katika hospitali hiyo huku baadhi yao wakiruhusiwa kutoka, wengine wakiendelea na na matibabu.
HABARI MCHANGANYIKO Ujenzi wa Makumbusho ya kisasa ya Jiolojia wawekewa jiwe la msingi November 16, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana (Mb) ameweka jiwe la misingi la ujenzi wa mradi wa miundombinu ya Ngorongoro Lengai Geopark wenye thamani ya Sh. 25 bilioni…