BIASHARA HABARI ZA MICHEZO Meridianbet yatoa msaada wa jezi Kimara November 20, 2024 Erasto Masalu Kampuni ya Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri leo wamefanikiwa kufika eneo la Kimara Mwisho jijini Dar-es-salaam na kutoa msaada wa jezi. Meridianbet wamefanikiwa kutoa jezi kwa kikundi cha Jogging…
HABARI MCHANGANYIKO Hukumu ya Dk. Hirsi wa Salaaman Desemba 16 November 20, 2024 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kutoa hukumu tarehe 16 Disemba 2024 kwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Salamaan Dk. Abdi Hirsi katika inayomkabili mahakamani hapo ya kughushi nyaraka ili kujipatia…
HABARI MCHANGANYIKO Serikali yawaimba wadau wa maendeleo kuisadia sekta ya kilimo November 20, 2024 Erasto Masalu WADAU wa maendeleo wameombwa kuendelea kusaidia sekta ya kilimo nchiniTanzania, hasa kwa kundi la vijana na wanawake ili kuhakikisha wanaleta mchangokatika sekta hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Baku, Azerbaijan … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO Mahakama kutoa uamuzi wa kesi ya mirathi ya Jenerali Kiwelu November 20, 2024 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Novemba 20 ,2024 inatarajiwa kutoa uamuzi wa maombi ya kuwakataa wasimamizi watatu wa mirathi ya familia ya marehemu Jenerali Tumainieli…
HABARI MCHANGANYIKO Tari yazisihi kampuni za mbegu kulipa mirabaha November 19, 2024 Erasto Masalu MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dk. Thomas Bwana amezieleza kampuni za mbegu kulipia mirahaba ya mbegu wanazotumia zinazotokana na kazi za watafiti wa TARI ili…
HABARI ZA MICHEZO Piga mshindo wa maana na Meridianbet leo November 19, 2024 Erasto Masalu Leo hii mechi zote za kufuzu kwa Afcon zinaenda kumalizika ambapo kuna timu ambazo tayari zimeshafuzu na zingine bado. Tanzania itakuwa kibaruani leo kusaka ushindi ili kushiriki michuano mikubwa Afrika.…
BIASHARA All Aces Poker ndio mchongo kwa sasa November 19, 2024 Erasto Masalu Wakati unaendelea kupiga mikwanja kupitia michezo mbalimbali ya Kasino, Lakini kwasasa unaweza kushinda kitita kizito kupitia mchezo wa kasino wa All Aces Poker ambao unaendelea kuwapa watu maokoto ya kutosha.…
HABARI MCHANGANYIKO Ummy apongeza hatifungani ya maji Tanga, ampongeza Rais Samia, Aweso November 19, 2024 Erasto Masalu MBUNGE wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu ametambua na kupongeza jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Wizara ya Maji chini ya Waziri Jumaa…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mmiliki wa jengo lililoporomoka K/koo atafutwe – Majaliwa November 18, 2024 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa jeshi la Polisi nchini, kumtafuta mmliki wa jengo lililoanguka na kuleta maafa eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
HABARI ZA MICHEZO Ushindi mkubwa upo Meridianbet leo November 18, 2024 Erasto Masalu Ni Jumatatu mpya kabisa ya maokoto ndani ya Meridianbet ambapo ukiwa sehemu yoyote ile unaweza kusuka jamvi lako hapa na kujihakikishia nafasi ya kuwa Milionea na mechi za kufuzu AFCON…