SIASA TANGULIZI Dk. Faustine Ndungulile afariki dunia November 27, 2024 Erasto Masalu MBUNGE wa Jimbo la Kigambo (CCM) na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Faustine Ndungulile amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024,…
BIASHARA Meridianbet yatoa msaada Tandale November 26, 2024 Erasto Masalu Meridianbet wameendelea kuhakikisha jamii yao inanufaika na kile wanachokivuna kwenye shughuli zao za kila siku, Ambapo leo wamefanikiwa kutoa msaada katika familia kadhaa Tandale Kurudisha kwa jamii iliyowazunguka na yenye…
HABARI ZA MICHEZO Jumanne ya UEFA inakuja kivingine November 26, 2024 Erasto Masalu Baada ya kushuhudia mechi mbalimbali za ligi wikendi sasa ni zamu ya mechi kubwa za Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo timu zitakuwa zikichuana kutafuta ushindi. Na wewe ingia Meridianbet utafute…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Meridianbet yaadhimisha Siku ya Kupinga Ukatili kwa Wanawake leo November 26, 2024 Erasto Masalu Leo hii tarehe 25 Novemba Meridianbet inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake Kupitia Kampeni yao ya “PINGA UKATILI, SIMAMA NA MWANAMKE” Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet,…
HABARI ZA AFYA Kairuki yaja na teknolojia kutibu saratani bila upasuaji November 25, 2024 Erasto Masalu DK. Fredy Rutachunzibwa wa Kairuki hospitali ambaye ni Mtanzania wa kwanza kufuzu mafunzo ya kutibu saratani kwa kutumia teknolojia ya HIFU (High-Intensity Focused Ultrasound), ameeleza namna tiba hiyo inavyotolewa bila…
HABARI ZA MICHEZO TPA bingwa mashindano ya Shimmuta 2024 November 25, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imeibuka kidedea baada ya imefanikiwa kunyakuwa Ubingwa wa Jumla wa Mashindano ya SHIMMUTA kwa mwaka 2024 katika michuano iliyofanyika jijini Tanga. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO Wawekezaji biashara ya kaboni watakiwa kuwa wawazi November 25, 2024 Erasto Masalu SERIKALI ya Tanzania imetoa wito kwa kampuni zinazojihusisha na biashara ya kaboni nchini kujenga uwazi na kuhusisha jamii kwenye maeneo ya miradi ili wananchi wawe nba ufahamu wa biashara hiyo.…
BIASHARA Vodacom na Sanlam wazindua M-Wekeza, uwekezaji kupitia simu November 24, 2024 Erasto Masalu KAMPUNI inayoongoza katika Teknolojia na Mawasiliano,Vodacom Tanzania Plc kwa kushirikiana na Sanlam Investments East Africa Limited, leowamezindua M-Wekeza, huduma ya kibunifu ya uwekezaji iliyoundwa ili kuleta fursa rahisi za uwekezaji…
HABARI ZA MICHEZO Suka jamvi na Meridianbet leo November 24, 2024 Erasto Masalu Baada ya jana kushuhudia mitanange kibao, hatimaye leo hii tena mechi kibao zinaendelea kuanzia EPL, LALIGA, SERIE A na nyingine nyingi. Tengeneza jamvi lako la ushind hapa. Ligi kuu ya…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Ushiriki wa Rais Samia G20 wainufaisha Tanzania November 24, 2024 Erasto Masalu USHIRIKI wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa G20 uliofanyika hapa Rio de Janeiro, Brazil na kuhusisha nchi tajiri 19 duniani, Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika…