HABARI MCHANGANYIKO Licha ya washtakiwa kuomba Hakimu ajitoe, yeye amekataa November 13, 2024 Erasto Masalu MAWAKILI wa utetezi katika kesi ya tuhuma ya kujeruhi na kutoa lugha ya matusi inayomkabili wanandoa Bharat Nathwan (57), Sangita Bharat (54) wameiomba hakimu anayesikiliza kesi hiyo ajitoe kwa sababu…
BIASHARA Gods Spin mkwanja upo huku November 13, 2024 Erasto Masalu Kama umechelewa kutambua sasa ufahamu kabisa mkwanja upo sehemu moja na sio kwingine ni mchezo wa kasino wa Gods Spin ambao unapatikana pale Meridianbet. Cheza sasa ujishindie maokoto. Age of…
HABARI MCHANGANYIKO TIRA kutoa taarifa ya utendaji wa soko la Bima Nov 22 November 13, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) inatarajia kutoa taarifa ya utendaji wa soko la Bima tarehe 22 Novemba 2024, kwenye ukumbi wa Superdom Masaki jijini Dar es Salaam. Anaripoti…
BIASHARA Infinix yazindua simu ya HOT 50 Pro+ nchini Tanzania November 13, 2024 Erasto Masalu INFINIX mobile, kampuni ya teknolojia ya kimataifa inayoongoza na inayoibuka kwa kasi, hatimaye imezindua Mfululizo wa HOT 50, vifaa vya simu mahiri ambavyo ni hatua muhimu katika mageuzi ya simu…
HABARI MCHANGANYIKO Awesso aahidi kutatua changamoto za Chuo cha Maji November 13, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso ameahidi kuendelea kuzitafutia ufumbuzi changamoto katika Chuo cha Maji ambapo amewataka watendaji wa sekta ya maji walioko mkoani Dar es Salaam kuhudhuria kikao kazi katika…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Polisi kuchunguza tukio la kupigwa risasi kada wa CCM Iringa November 13, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi Mkoani Iringa kupitia kwa kamanda wa mkoa huo Allan Bukumbi, limesema linachunguza tukio la kupigwa Risasi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Kilolo, mkoani humo…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI CCM yamlilia kada wao aliyepigwa risasi na wasiojulikana November 13, 2024 Erasto Masalu KATIBU wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Kilolo mkoani Iringa, Christina Kibiki amekutwa amefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akijiandaa kuhudhuria semina elekezi kwa Makatibu jijini Dodoma kesho. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Polisi wachunguza tukio la uhalifu November 13, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi nchini limesema, linachunguza tukio la picha mjongeo iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii siku ya jana, ikionesha watu ambao wakijaribu kumkamata na kumuingiza kwenye gari ndogo kwa kutumia…
ELIMU TANGULIZI CBE kuwakutanisha wanataaluma DodomA, Majaliwa kuwa mgeni rasmi November 12, 2024 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua mkutano wa Tano wa Biashara na Maendeleo ya Kiuchumi (BEDC) 2024) ambao umeandaliwa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) utakaofanyika kuanzia tarehe 22…
HABARI MCHANGANYIKO Bunge laridhika na utekelezaji wa mitadi ya misitu na nyuki November 12, 2024 Erasto Masalu KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhika na miradi mbalimbali ya misitu na nyuki inayotekelezwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mfuko wa Misitu na…